Heart Breaking: Roman Rain aachia mkanda wa Universal Championship.

Mwami Ntale

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
855
Reaction score
2,264
Kwa wale wapenzi wa mieleka ya WWE, mkali wa mchezo huo Roman Rain ametangaza kujivua ubingwa wa Universal Championship kutokana na kuugua saratani ya damu -Leukemia. Jambo hiki limeleta simanzi kubwa kwa wapiganaji wenzake na mashabiki pia.
Sambamba na hili, Dean Ambrose aliamua kumshambulia Seth Rollins mara baada ya wawili hao kuwashinda Drew McIntire na Dolf Ziggler na kutwaa mkanda wa Raw Tag Team Championship. Sijaelewa sababu za Dean kufanya hivyo.
 
Mungu ampe wepesi
 
Mashindano yatapoteza mvuto wapiganaji wenyewe ni wachache na uyu akitoka si majanga
 
Dahh mimi. now days hata huwaga sifuatilii maana huwaga naona kuwa huo mchezo umepoteza mvuto "..

enzi za kina Cena ' Randy Orton " undertaker" stone cold .Shawn Michael .batista. triple H .Umaga . etc

ndio ilikuwaga balaa patashika nguo kuchanika
 
Wapigaji wengine wako wap siku hizi yaani kila siku walewale
 
Nilikuwa namwelewa Bobby Lashley, alivyoondoka niliacha kwa kiasi kikubwa.

Enzi za jina Randy Orton.
 
Lakini bado burudani iko palepale! The Shield ni moja kati ya makundi yenye wapiganaji mahili kabisa, lakini sasa limevunjika rasmi!
 
iko pale pale ndio lakini imepungua ushawishi na ufanisi
 
Nilikuwa namwelewa Bobby Lashley, alivyoondoka niliacha kwa kiasi kikubwa.

Enzi za jina Randy Orton.
Alikuwa anajua sana huyo jamaa ' wiki kadhaa zilizipita nili jaribu kuangalia lakini nikashindwa" nikaona kama wananipotezea muda tu
 
Wapigaji wengine wako wap siku hizi yaani kila siku walewale
wengine wame staafu" wengine wana jihusisha na uchezaji movies". nadhani shirikisho lao" lilishindwa kuwaandaa watu wengine hodari kama wale waliopita" ndio maana huo mchezo ni kama ume flop .. ila wangejiandaa vyema Aisee ingekuwa ni hatari sana
 
Alikuwa anajua sana huyo jamaa ' wiki kadhaa zilizipita nili jaribu kuangalia lakini nikashindwa" nikaona kama wananipotezea muda tu

Ubaya wa hizi kitu ukishaacha kuziangalia na interest inapotea kabisa.
 
wengine wame staafu" wengine wana jihusisha na uchezaji movies". nadhani shirikisho lao" lilishindwa kuwaandaa watu wengine hodari kama wale waliopita" ndio maana huo mchezo ni kama ume flop .. ila wangejiandaa vyema Aisee ingekuwa ni hatari sana
Kila siku wanarudia rudia tu dah, Yes yes yes yes kila sura mpya hakuna alafu na maelezo ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…