Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Kwa wale wapenzi wa mieleka ya WWE, mkali wa mchezo huo Roman Rain ametangaza kujivua ubingwa wa Universal Championship kutokana na kuugua saratani ya damu -Leukemia. Jambo hiki limeleta simanzi kubwa kwa wapiganaji wenzake na mashabiki pia.
Sambamba na hili, Dean Ambrose aliamua kumshambulia Seth Rollins mara baada ya wawili hao kuwashinda Drew McIntire na Dolf Ziggler na kutwaa mkanda wa Raw Tag Team Championship. Sijaelewa sababu za Dean kufanya hivyo.