Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
hata mimi naona bestMbwa wa police nae huwa police.
Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi naona bestMbwa wa police nae huwa police.
Lol
mtu yeyote maarufu akifanya au kusema kitu chochote, basi ata make headline na watu ku pay attention kwa aliyoyasema au kuongea,ni ngumu sana mtu kama humkubali akafanya kioja halafu ukamfuatilia,obvious utampuuza kama unaona anafanya ujinga au yeye mwenyewe mjinga,na kama una pay attention kwa huyo mtu obviously unamkubali. Pengine kwa chochote kile atakachokifanya anajua watu lazima waongee,some people like to be talked,may be he deserves that status,if u don't like his rubbish,obviously u will not even open his thread,but if u do,u better continue to be his fan
hapo ni internet cafe, amelipia na huduma ya kupigia picha pia?
pole kwa wivu wa kijinga...kwa taarifa yako hizo ni ofice ndani ya cloudz...usifikiri kila mtu ana kazi/ajira moja tu
pole kwa wivu wa kijinga...kwa taarifa yako hizo ni ofice ndani ya cloudz...usifikiri kila mtu ana kazi/ajira moja tu
Shogae domo.
Shogae domo.
pointsss ..una mpesa hapo nikutumie elfu kadhaaa???bahat mbaya tu niko njeee