Heaven on desert ofisinii

Heaven on desert ofisinii

mtu yeyote maarufu akifanya au kusema kitu chochote, basi ata make headline na watu ku pay attention kwa aliyoyasema au kuongea,ni ngumu sana mtu kama humkubali akafanya kioja halafu ukamfuatilia,obvious utampuuza kama unaona anafanya ujinga au yeye mwenyewe mjinga,na kama una pay attention kwa huyo mtu obviously unamkubali. Pengine kwa chochote kile atakachokifanya anajua watu lazima waongee,some people like to be talked,may be he deserves that status,if u don't like his rubbish,obviously u will not even open his thread,but if u do,u better continue to be his fan

pointsss ..una mpesa hapo nikutumie elfu kadhaaa???bahat mbaya tu niko njeee
 
pole kwa wivu wa kijinga...kwa taarifa yako hizo ni ofice ndani ya cloudz...usifikiri kila mtu ana kazi/ajira moja tu

Una mambo ya kishoger....ss ndo tujue unafanya kazi clouds???ptuuuuh.....watu wana maofisi lkn hawajitapi..kweli kua uyaone....umefika mjini lini vile.??,
 
am doin my thingz..cjawai jari whta people talks bout me n my life............
 
pole kwa wivu wa kijinga...kwa taarifa yako hizo ni ofice ndani ya cloudz...usifikiri kila mtu ana kazi/ajira moja tu

which is which?upo nje au clouds?kwa maisha ya njaa uliokulia watese ndugu yangu wakukome uswazi
 
Mi sidhan hata kama amecheza hata chrismas moja mjin huyu kiumbe!
 
Ila jaman,ni celebrit wa kijijin kwao...
Kah!et upo nje!jaman!nje ya box?
 
Mkuu hata kama unafanya kazi kwa huyo boss wako watu hawasifii hivi...una Mwanamke kweli wewe nae anasema nina Mwanaume au we ni mchelemchele?
 
Still I've been able to understand your point, perhaps enlight us so that we can see from your own perspective. So help me out, why is this thread on celebs forum again?
 
Ofisini kuna utaratibu wa kukaa kajipange urudi labda useme upo kwenye kachumba.
 
Back
Top Bottom