Heri yako unayeishi uzunguni mkuu.
mungu ampe afya na apone mapema.tz sio salama tena
Mbona povu kwa sana,au bi mdada alikataa application yako????????uzunguni ndo wapi mkuu?
Mbona povu kwa sana,au bi mdada alikataa application yako????????
Povu si hizo negatives unazomwaga kwenye hii threadpovu liko wapi?
Povu si hizo negatives unazomwaga kwenye hii thread
Wewe mleta uzi, unatueleza kuhusu zahama iliyompata H.O.E harafu hutaki watu wajue hospitali alipolazwa ili wakamjulie hali, wewe unataka wafanyaje? kama unaona wanajf hawaaminiki si ni afadhari usingesema tu.
unakuta mtu mpo nae hospitali ila mnashindwa kujuliana hali, eti kwa sababu tu ya kuendeleza utamaduni wa kutofahamiana miongoni mwetu!
Pole sana my da H.O.E