josephmasamaki
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 163
- 84
Mkome kuishi Uswahilini
aiseee!!
Naikumbuka hyo siku. The guy alionekana kuwa amemkasirikia sana jinsi ambavyo alivyokuwa anaandika. Nami nimewaza sana kuhusu aliyokuwa anamwambia na kilichotokea. Sitaki kusema kuwa upo uhusiano wa moja kwa moja ila lazma nijiulize. Mungu ampe uponyaji my sweet friend Heaven on Earth
Kumbe na wewe ustaarabu ZERO kabisa!!!
Yamekuwa hayo tena?? Haya bana!!anza kukoma wewe kwa sababu we ndo mtaalamu wa kuharibu,... hilo rungu lako jipige nalo mwenyewe kwanza
Kajitakia mwenyewe[/QUOTE
Hivi Dr. Mvungi nae alikuwa wa uswazi!!
How? Unaweza okoa mwingine kwa kusema hili.
Kajitakia mwenyewe[/QUOTE
Hivi Dr. Mvungi nae alikuwa wa uswazi!!
Tena huyo alikuwa mswahili wa kutupwa kabisa
Ndugu Jamaa na Marafiki.
Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.
Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.
Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.
UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.
Kajitakia mwenyewe