Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Kila binadamu ana haki ya kuishi I feel sorry for what happened to her.
Last few days somebody was been shot dead but the reaction was different to this , why because she was Indian lady,
Get well soon HoE
 
Naikumbuka hyo siku. The guy alionekana kuwa amemkasirikia sana jinsi ambavyo alivyokuwa anaandika. Nami nimewaza sana kuhusu aliyokuwa anamwambia na kilichotokea. Sitaki kusema kuwa upo uhusiano wa moja kwa moja ila lazma nijiulize. Mungu ampe uponyaji my sweet friend Heaven on Earth

Kama ndivo basi kuna umuhimu wa kuanzia hapo
 
Last edited by a moderator:
Sasa nilitaka tupitishe ka mchango toka kwa wana jf ndiyo itakuwaje kama hataki tumtembelee hospitalini? Hata hivyo ninampa pole nyingi mwenyezi Mungu amponye na aweze kuendelea na ujenzi wa taifa letu ambalo kila mwaka tunaambiwa ni changa halikui.
 
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.

Kwa Huzuni tumepokea taarifu hii:- Pole kwa wanaJF na Pole nyingi kwa dada mpendwa HOE. Kwa pamoja tunanyanyua mikono juu kuomba kwa Moula akuponyeshe haraka na atulinde sote.AMIN
utainuka haraka.
 
Pole sana H.O.E wishing you early recovery....
 
Back
Top Bottom