Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
pole yake sana mwambie tuko nyuma yake tunamuombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naikumbuka hyo siku. The guy alionekana kuwa amemkasirikia sana jinsi ambavyo alivyokuwa anaandika. Nami nimewaza sana kuhusu aliyokuwa anamwambia na kilichotokea. Sitaki kusema kuwa upo uhusiano wa moja kwa moja ila lazma nijiulize. Mungu ampe uponyaji my sweet friend Heaven on Earth
Inasikitisha sana my sister kuvamiwa lazima tulipize kisasi
Shove your comment up your ass.
hope ur in-love now!
Tembosa handle this woman with care...
Soso yesterday we were talk about vibaka here!
mimi, wife wangu shansarie na Heaven on Earth afu ndiyo leo tunazisikia hizi habari..
shocked sana!
Mungu amponye haraka..
Hii tabia ya kuharibu mada, tunaomba ikome mara moja. Tumechoka kusoma upuuzi wenu. Ningekuwa na rungu la umodereta, ningekupiga ban ya maisha.
like can show appreciation/recognize the worthy of the message/post or mleta post....haimaanishi lazima iwe kuufurahia ujumbe/tukio ... kwa mfano ckuwa najua hii habari lakini kuna mtu kani cc,so natambua mchango wake kunihabarisha..sasa apo ndo mwenzenu natafakarigi sana.. uzi kama huu mtu anagonga Like.. sielewi maana yake ni nini hasa..! pole majeruhi..!
Hana maana.