pole bestie friend Heaven on Earth, Mungu ni mwema atakuponya. Asante Sangarara kwa taarifa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana dad yangu Heaven on EarthNdugu Jamaa na Marafiki.
Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.
Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.
Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.
Pole sana dada yangu Heaven on Earth kwa kadhia hiyo iliokukuta.. Mie na wifi yako Paloma tunamuomba Mungu akusaidie upate ahueni na kurudi tena kwenye shughuli za kujenga nchi..
Ninategemea Polisi na vyombo vya dola vitafanya uchunguzi na kuwakamata wote waliohusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria..
Ni vibaka tu au? Maana kuna siku alizinguana na mtu humu na yule jamaa akamwambia anamjua na hadi chuo na kozi aliyosoma pale udsm. Tuanze kumuhoji huyo member kwanza