Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, wanaovamiwa na majambawazi wote wanakaa uswahilini??
Mkuu hapo kwenye red inamaanisha kama halikui basi limedumaa khaaa.Sasa nilitaka tupitishe ka mchango toka kwa wana jf ndiyo itakuwaje kama hataki tumtembelee hospitalini? Hata hivyo ninampa pole nyingi mwenyezi Mungu amponye na aweze kuendelea na ujenzi wa taifa letu ambalo kila mwaka tunaambiwa ni changa halikui.
Ndiyo, wote waswazi hao.