Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.

Dah mpe pole sana dada yetu, sometimes i wonder why bad things happen to good people. Getwell soon!
 
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.

Ooor poor H.O.E ...Mungu am-afu mapema!
 
Binadamu wamegeuka wanyama! Hata paka watakimbilia porini kuogopa roho mbaya za sisi wanadamu wa zama hizi!!

Get well soon Heaven on Earth , Pole kwa yaliyotokea!
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa walaniwe. Wangemuafoo saro aisee..hii ni balaa. Mungu amsaidie apone haraka
 
heri yako wewe mwenye mambo ya kizunguzungu!!

Asikudanganye mtu mbongo ni mbongo tu, hata ajibadili rangi na matendo yake awe kama mzungu bado harufu ya kibongo haiishi
 
Back
Top Bottom