Sista
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,208
- 1,033
R.I.P mdada
una maana gani? ajali ni kwa kila mtu hata wewe yanaweza kukukuta yaliyompata our beloved Heaven on Earth
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P mdada
R.I.P mdada
Sintoweza kueleza hospitali aliyolazwa mpaka nipate hidhini yake. samahani sana Mkuu.
mbona ulishaitaja? Rudi kwenye mchango wako wa kwanza hapo juu! Tutajie pia wodi namba, maana akina dada/mama waliolazwa hapo ni wengi!
R.I.P mdada
Mkuu, nilitaja Hospitali baada ya kupata hidhini yake, kwa sasa amekwishatoka na anaendelea vizuri.Karibu.
Sangarara na Vin Diesel ebu wekeni wazi Heaven on Earth amevamiwa na vibaka/wezi/majambazi sehemu gani? Alikuwa kwenye gari au kwa mguu? Alivamiwa nyumbani kwake au njiani wakati anarudi? Je ameporwa vitu gani? Nani aliyejua kama kavamiwa na hajitambui(kama alikuwa peke yake)? Isije ikawa kala vya watu wakaamua kumu-ulimboka!