Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Sintoweza kueleza hospitali aliyolazwa mpaka nipate hidhini yake. samahani sana Mkuu.

mbona ulishaitaja? Rudi kwenye mchango wako wa kwanza hapo juu! Tutajie pia wodi namba, maana akina dada/mama waliolazwa hapo ni wengi!
 
Mkuu, nilitaja Hospitali baada ya kupata hidhini yake, kwa sasa amekwishatoka na anaendelea vizuri.Karibu.
 
Sangarara na Vin Diesel ebu wekeni wazi Heaven on Earth amevamiwa na vibaka/wezi/majambazi sehemu gani? Alikuwa kwenye gari au kwa mguu? Alivamiwa nyumbani kwake au njiani wakati anarudi? Je ameporwa vitu gani? Nani aliyejua kama kavamiwa na hajitambui(kama alikuwa peke yake)? Isije ikawa kala vya watu wakaamua kumu-ulimboka!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Heaven on Earth alivamiwa na vibaka wakati anarudi nyumbani akitokea kwenye function ya rafiki yake...nimezungumza nae na atakuja jukwaani hapa kuweka taarifa sahihi....as long as she is doing well sidhani kama itakuwa vyema nikimsemea....just be patient....utapata majibu yote hata zaidi ya yale umeuliza...
VD
 
Last edited by a moderator:
Sangarara na Vin Diesel ebu wekeni wazi Heaven on Earth amevamiwa na vibaka/wezi/majambazi sehemu gani? Alikuwa kwenye gari au kwa mguu? Alivamiwa nyumbani kwake au njiani wakati anarudi? Je ameporwa vitu gani? Nani aliyejua kama kavamiwa na hajitambui(kama alikuwa peke yake)? Isije ikawa kala vya watu wakaamua kumu-ulimboka!

Tuwe wavumilivu, siku akionekana humu ndani naamini atakuwa kwenye nafasi ya kutoa maelezo kamili kama ataona inafaa.
 
dahhhhh so sad aiseee get well sonn my mdogo Heaven on Earth

get-well-soon-wishes.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom