mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Huyu hapa Heaven on Earth
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema, nipo vizuri kabisaAnkoo, me ni bukheri wa afya, za wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] marahaba ya shingo upandeChikamoo babu[emoji119][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] marahaba ya shingo upande
Zimefika maaAya maa,msalimie sana
ShukraniMungu ni mwema, nipo vizuri kabisa
mbiti; tupogoooooo. Umemissika kweli
Kuwa mtu mzima mkuuJamani hili toto,mrembo wa JF,nimemmiss sana,hata awe na watoto 17 ila kama hana mtu nipo tayari kumvalisha pete la ndoa.
Akitoa chozi nimfute,nimkiss halafu nimtakie (nakupenda wewe peke yako).
Ana kesi ya kutujibu jamani, mtu anapotea weeeeYaani T ake huyu bibie sijui tumfungulie kesi tu, kwa kosa la kupotea..
Cos si kwa haya aseh!
Baridi inaninyanyapaa sana. Nina dalili zote za kuwa oni ze rodi wiki lijaloKwema shemeji,habari ya huko uliko?
Usiniambie bado upo kule![emoji23][emoji23][emoji23]ukuje niinyooshe[emoji12][emoji12]
Giirl!, where U at?!
Ndo nini sasa kujificha hivyo?!!
Hahahaha...nipo tukuyu nakula makatapelambiti; tupogoooooo. Umemissika kweli
Ha ha angalia tu usije ukanenepeana kama wanyakiHahahaha...nipo tukuyu nakula makatapela
Ney angalau tunakutana, yupoKwa kweli!
Halafu Neybright nae sijui anatujaribu, maana hata nae sijamtia machoni.
Bibie popote ulipo zikufikie salamu, umemisika ka kope ya mbu..
Hahaa nashangaa ww umiss huo wa wapHa ha angalia tu usije ukanenepeana kama wanyaki
Weee nimenenepeana huyo sasa hivi, kono la kinyaki hilooHahaa nashangaa ww umiss huo wa wap