Heaven on Earth baby uko wapi?

Heaven on Earth baby uko wapi?

Mwee!itupie hapa mamy!naudhika na weather hii lips znakuja ngumu!arghhh naaply vaseline wapiii!arghhh

Kwa lips, jaribu Vaseline and Sugar lip scrub.
Ukiweka Vaseline, ongezea na sukari halafu sugua pamoja kwenye lips.
Zinakuwa sooft. Ni scrub nzuri hata kwenye mikono, inakuwa sooft!

Na hivi sasa Shem anapata 110% attention?!!...Ngoja ninyamaze tyuu! 😀
 
Hahaa asante sana mamy..katka kitu nachovutiwa nacho ni lips zangu..sasa zinakaukaaaaaa kama za kangI lugola bwana..ntafanya baadaye .
 
Back
Top Bottom