kichwadongo
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 136
- 15
Si aliachika huyo, anajiliwaza humu
Si aliachika huyo, anajiliwaza humu
kichwadongo habari yakoWe ndo ulimwacha?
ubize bibie hadi muda wa kuchat nakosa kabisa.
Khe na wifu yangu nae anasema hivi.......yere uwiiiiiiiiiii
Ngoja nikuachie na wewe Opportunity ya kumake money wii
hahahaaa... Umeonaeee yaani ni balaa hapo lazima ze duduz ichungulie!!!!!!