Heaven on earth, Heaven on earth anastahili pongezi kwa speed yake katika kupost hapa jukwaani

Heaven on earth, Heaven on earth anastahili pongezi kwa speed yake katika kupost hapa jukwaani

Heaven on earth ukiona hivyo ujue ameanza kukufitini kwa kaka yake, ooooh unajua mwanamke gani huyu anakunyonya tu damu na mali, hatuoni matunda yoyote, kama vipi achana naye bana kuna wanawake kibao tu wenye uzazi wao; hahahahaha wewe si unajua habari za ma-wifi; hawana urafiki wala uadui wa kudumu; uongo au ukweli bibie Lady doctor

hahahaaa wewe Mokoyo wewe umeanza fitna sasa ujue mimi na Heaven on earth tumetoka mbali tangu tukiwa chekechea hatujakutana uwifini tu
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa... Babu wewe hupitwi
:tape::tape:

babu Asprin hapitwi jamani Kha............,

aende kwa wazee wenziee
:rip::rip:

ashindwe na alegee kwa majina ya mahasbendi wetu...........,
:ban::ban:

tena akome, tutamvalisha bikini mchana kweupee
:Cry::Cry:

ye anataka damu moto ya baridi ina mtetemesha
:A S-fire1::A S-fire1:
 
Back
Top Bottom