Heaven on earth, Heaven on earth anastahili pongezi kwa speed yake katika kupost hapa jukwaani

Heaven on earth, Heaven on earth anastahili pongezi kwa speed yake katika kupost hapa jukwaani

Wee wee!
Hili banzi langu currently owned by YNNAH only! Sidhani kama atahitaji ku'share with someone! Ikiwa hata mie sijadhani by the way!
Au nimekusoma vibaya Mamndenyi unamaana nimuombe mavumba?

Na mnavyosindikwa kama mbilimbi na kuzibwa na mifuniko kwan hata mwafurukuta.
 
Last edited by a moderator:
mhm! jamani makubwa haya
jamani wandugu tazameni spidi ya huyu mdada sweetie Heaven on earth
Total Posts

Total Posts 4,317
Posts Per Day 29.27 Last Activity Today 18:15 Join Date 21st March 2013
 
Nitakuwa na roho mbaya kama nisipompongeza Heaven on earth, halafu hata avatar yake ....wee acha tu...Natamani angekuwa wangu tena wangu pekeyangu...nnekumithie Heaven on earth....!nnekukunda thaaana thana....!
 
Hahahaaa.... My wii Heaven on earth kumbe unakimbiza huku daaaah,,,,, hongera zako bana......! Nitakuachia ID yangu na password yangu uwe unanikimbizia huku mwendo wa post tu kwa kwenda mbele......SAWA!!!!!???????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom