YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ume m pm lakini?bidada njoo huku upate pongezi zako
mwekundu kwa nini nilipoamka hukuniambia hii habari!!!!Niko nae hapa nmeshamwambia lakini anausingizi ngoja kwanza aamke
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahaaa.... My wii Heaven on earth kumbe unakimbiza huku daaaah,,,,, hongera zako bana......! Nitakuachia ID yangu na password yangu uwe unanikimbizia huku mwendo wa post tu kwa kwenda mbele......SAWA!!!!!???????
si ukaanza kupika dinner!!
Mbona nimekumiss sana my wii jamani
Lady doctor umenisusa kabisa nyumbani hauji tena kunitembelea nini tatizo
lol nimekuja sasa,yaani wakinitaja tu roho yako inakulipuka Khaa mimesikiaje raha
Heaven on earth ukiona hivyo ujue ameanza kukufitini kwa kaka yake, ooooh unajua mwanamke gani huyu anakunyonya tu damu na mali, hatuoni matunda yoyote, kama vipi achana naye bana kuna wanawake kibao tu wenye uzazi wao; hahahahaha wewe si unajua habari za ma-wifi; hawana urafiki wala uadui wa kudumu; uongo au ukweli bibie Lady doctor
halafu na wewe bana, roho inalipukia nini?
Unajua niko bize kufuatilia nyendo zako?
utatoka roho juu shauri yako,heaven ni silent killer........,
Aisee.....
na jana ulisema hivyo hivyo kule womens to womens.........,
mie nataka vijana wenzangu bana
na jana ulisema hivyo hivyo kule womens to womens.........,
mie nataka vijana wenzangu bana
Mbona nimekumiss sana my wii jamani
Lady doctor umenisusa kabisa nyumbani hauji tena kunitembelea nini tatizo