Heaven on earth mke wangu kipenzi, nahisi ametekwa mbona simuoni humu ndani?

Heaven on earth mke wangu kipenzi, nahisi ametekwa mbona simuoni humu ndani?

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Nawasalimu nyote WanaCC!

Mke wangu Heaven on earth simwoni humu ndani kwa muda wa siku kadhaa sasa, hii ni baada ya kupata safari ya kwenda kijijini kwetu sitimbi kwenda kumsalimia bibi! Nimekuwa nikimwona mara nyingi akibeng' humu ndani lakini tangu obama alipotua humu nchini amekuwa akionekana kwa nadra sana! ni wasiwasi na akina mshana jr na kundi lake maana kipindi fulani walijaribu kurusha mawe kutest kasimamaje kwenye penzi letu!

Plz kuna zawadi nono kwa yeyote atakayefanikiwa kunipa taarifa sahihi za upatikanaji wake!

Zawadi ya pikipiki aina ya boxer mpya, na verossa mpya pamoja na pesa taslimu za sh. bilioni moja(zimbabwean dollar) zipo kwa yeyote atakayesaidia! Kwa wale wenzangu waislamu plz, allah atakusamehe makosa yako yote kipindi hiki cha mfungo!

Popote ulipo mke wangu Heaven on earth jitokeze nikubusu mpenzi, sikuoni kabisa humu ndani! Hata hivyo bibi anakusalimu sana!

Plz naombeni ushirikiano wenu!

Ahsanteni sana!

CC: Himidini
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
^^
Ngoja tukute tunaimba huu wa Ray C
,,
Uko wapi nikufuate,
Niambie nipajue,
Angalau nikuone,
Roho yangu itulie,
..
Najiuliza kila siku wapi pa kukupata,
Ni muda sasa hatujaonana,
Napata shida sana,
Nataka niwe nawe,
Ntakupataje pataje,
Nawe huonekani.
..
Heaven on earth
Nipe simu ya mkononi,
Au barua pepee,
Niondokane na mawazo,
Ya kukuwaza wewee!
^^
 
Last edited by a moderator:
Kuna wajanja washakwapua wanakula taratibu.
 
Kuna harusi imefanyika juzi! Hebu kaulize ulize!!,ni mtaa uleee! Watu walikuwa wengi! Sana!
 
Hahahaaaaa utaisoma namba kaka!!! Chezeya zongo weye.! Mtoto ninaye mahbubah tuko malibu tunakula vyetu ...na hilo zawadi lako?!! Khe 2billion Zimdollar hahahaaaaa hahahaaaaa hahahaaaaa
 
^^
Ngoja tukute tunaimba huu wa Ray C
,,
Uko wapi nikufuate,
Niambie nipajue,
Angalau nikuone,
Roho yangu itulie,
..
Najiuliza kila siku wapi pa kukupata,
Ni muda sasa hatujaonana,
Napata shida sana,
Nataka niwe nawe,
Ntakupataje pataje,
Nawe huonekani.
..
Heaven on earth
Nipe simu ya mkononi,
Au barua pepee,
Niondokane na mawazo,
Ya kukuwaza wewee!
^^
Na bado...!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilikutana nae Juzi akiulizia Passport ili anende zake kwa Obama.
 
Hahahaaaaa utaisoma namba kaka!!! Chezeya zongo weye.! Mtoto ninaye mahbubah tuko malibu tunakula vyetu ...na hilo zawadi lako?!! Khe 2billion Zimdollar hahahaaaaa hahahaaaaa hahahaaaaa

Angalia avatar yetu utatuona

Na bado...!

Acha mkwara mshana jr! Heaven on earth ana mapenzi ya kweli kwangu! nina mapenzi ya kweli pia kwake! kwanza sasa hv kanidipu simu ikakata, nahisi chaji ndo imemwishia! hofu sina mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilikutana nae Juzi akiulizia Passport ili anende zake kwa Obama.

Ayaaaaaa, hii sio kweli labda yupo njiani nae anakuja kumsabahi bibi, anampenda sana bibie yake! najua anataka kunipa surprise!
 
Tatizo ya Mapenzi ya sasa huyajui kwani kupendana kulikuwa Zamani,Hongera kwa kujitambua unapendwa..

Unataka kusema kuwa sasa hv watu hawapendani nini mkuu! watu wanapendana tena sana pengine kuliko zamani, ila kilichobadilika kwa sasa ni terms and conditions basi mkuu hakuna kingine, sasa hv mapenzi ni matamu sana kuliko zamani asikwambie mtu!
 
Back
Top Bottom