UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Nawasalimu nyote WanaCC!
Mke wangu Heaven on earth simwoni humu ndani kwa muda wa siku kadhaa sasa, hii ni baada ya kupata safari ya kwenda kijijini kwetu sitimbi kwenda kumsalimia bibi! Nimekuwa nikimwona mara nyingi akibeng' humu ndani lakini tangu obama alipotua humu nchini amekuwa akionekana kwa nadra sana! ni wasiwasi na akina mshana jr na kundi lake maana kipindi fulani walijaribu kurusha mawe kutest kasimamaje kwenye penzi letu!
Plz kuna zawadi nono kwa yeyote atakayefanikiwa kunipa taarifa sahihi za upatikanaji wake!
Zawadi ya pikipiki aina ya boxer mpya, na verossa mpya pamoja na pesa taslimu za sh. bilioni moja(zimbabwean dollar) zipo kwa yeyote atakayesaidia! Kwa wale wenzangu waislamu plz, allah atakusamehe makosa yako yote kipindi hiki cha mfungo!
Popote ulipo mke wangu Heaven on earth jitokeze nikubusu mpenzi, sikuoni kabisa humu ndani! Hata hivyo bibi anakusalimu sana!
Plz naombeni ushirikiano wenu!
Ahsanteni sana!
CC: Himidini

Last edited by a moderator: