Heaven on earth mke wangu kipenzi, nahisi ametekwa mbona simuoni humu ndani?

Heaven on earth mke wangu kipenzi, nahisi ametekwa mbona simuoni humu ndani?

Unataka kusema kuwa sasa hv watu hawapendani nini mkuu! watu wanapendana tena sana pengine kuliko zamani, ila kilichobadilika kwa sasa ni terms and conditions basi mkuu hakuna kingine, sasa hv mapenzi ni matamu sana kuliko zamani asikwambie mtu!

Nimeelewa Mkuu
 
nilipata mshtuko wa ghafla ujue!!
Pole sana, unajua mama mwenye mabinti warembo ndo husumbuliwa sana na wanaume, kila akienda huku oooh ma'mkwe akifanya vile ooh ma'mkwe yote ni ishara ya matunda mema aliyo nayo! hivyo usiogope ni ishara njema ya uhusiano mzuri tuliona nao!
i miss you Heaven on earth popote ulipo plz njoo, nakupenda tafadhali jamani, na wewe hakika unajua hili!

nimemmis jamani huyu mrembo, sijui kanipa nn hadi nakosa raha kama simwoni!
 
Last edited by a moderator:

ngoja nikuitie
we Heaven on earth wewe
mwenzio povu lamtoka we upo kimya
shost njoo huku bana!!
 
Last edited by a moderator:
^^
UNDENIABLE
Öndoa shaka kabisaaa Heaven on earth yupo anakutazama,amejaa tabasamu anaona jinsi ambavyo unatetea pendo lako kwako.
Usisikilize ya watu,,habari aliyoleta Lady doctor ni kutikisa kiberiti tu
^^
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu nyote WanaCC!

Mke wangu Heaven on earth simwoni humu ndani kwa muda wa siku kadhaa sasa, hii ni baada ya kupata safari ya kwenda kijijini kwetu sitimbi kwenda kumsalimia bibi! Nimekuwa nikimwona mara nyingi akibeng' humu ndani lakini tangu obama alipotua humu nchini amekuwa akionekana kwa nadra sana! ni wasiwasi na akina mshana jr na kundi lake maana kipindi fulani walijaribu kurusha mawe kutest kasimamaje kwenye penzi letu!

Plz kuna zawadi nono kwa yeyote atakayefanikiwa kunipa taarifa sahihi za upatikanaji wake!

Zawadi ya pikipiki aina ya boxer mpya, na verossa mpya pamoja na pesa taslimu za sh. bilioni moja(zimbabwean dollar) zipo kwa yeyote atakayesaidia! Kwa wale wenzangu waislamu plz, allah atakusamehe makosa yako yote kipindi hiki cha mfungo!

Popote ulipo mke wangu Heaven on earth jitokeze nikubusu mpenzi, sikuoni kabisa humu ndani! Hata hivyo bibi anakusalimu sana!

Plz naombeni ushirikiano wenu!

Ahsanteni sana!

CC: Himidini

Ofisini kwangu sina kumbukumbu zinazoonyesha ndoa yako, are you sure?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kama ni muona mahala, sikumbuki wapi?

Ayaaaaa kabanga bhana! nipe faraja mkuu sio kunirusha tena roho hivi! nipo taabani hapa nilipo, just imagine tangu tarehe 8 july sina mawasiliano na wife wangu Heaven on earth, unahisi nina hali gani sasa mkuu! very terrible kabisa!
 
Last edited by a moderator:
^^
Ngoja tukute tunaimba huu wa Ray C
,,
Uko wapi nikufuate,
Niambie nipajue,
Angalau nikuone,
Roho yangu itulie,
..
Najiuliza kila siku wapi pa kukupata,
Ni muda sasa hatujaonana,
Napata shida sana,
Nataka niwe nawe,
Ntakupataje pataje,
Nawe huonekani.
..
Heaven on earth
Nipe simu ya mkononi,
Au barua pepee,
Niondokane na mawazo,
Ya kukuwaza wewee!
^^

jamani shem Himidini mie nipo namba yangu si unayo
sema tu nilikuwa siko hewani
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom