Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kuna wajanja washakwapua wanakula taratibu.
yaani Mzee kuna mtu alikuwa anataka kunitenganisha na mpendwa wangu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajanja washakwapua wanakula taratibu.
Jamani popote ulipo kaka yangu figganigga hebu mfungulie huyo mke wa watu aende zake, utaja pigwa zongo buree.
Kuna harusi imefanyika juzi! Hebu kaulize ulize!!,ni mtaa uleee! Watu walikuwa wengi! Sana!
Hahahaaaaa utaisoma namba kaka!!! Chezeya zongo weye.! Mtoto ninaye mahbubah tuko malibu tunakula vyetu ...na hilo zawadi lako?!! Khe 2billion Zimdollar hahahaaaaa hahahaaaaa hahahaaaaa
Mkuu nilikutana nae Juzi akiulizia Passport ili anende zake kwa Obama.
kumbe figganigga siku hizi ndio
ananaliu na Heaven on earth loooooz!!
Pole sana, unajua mama mwenye mabinti warembo ndo husumbuliwa sana na wanaume, kila akienda huku oooh ma'mkwe akifanya vile ooh ma'mkwe yote ni ishara ya matunda mema aliyo nayo! hivyo usiogope ni ishara njema ya uhusiano mzuri tuliona nao!
i miss you Heaven on earth popote ulipo plz njoo, nakupenda tafadhali jamani, na wewe hakika unajua hili!
nimemmis jamani huyu mrembo, sijui kanipa nn hadi nakosa raha kama simwoni!
penzi halishikiwi mkuki,penzi ni maneno matami
Ofisini kwangu sina kumbukumbu zinazoonyesha ndoa yako, are you sure?
Bishanga kupendwa kuna raha jamaniKupenda kubaya!
kama ni muona mahala, sikumbuki wapi?
Hajakaguliwa wewe!
Filipo anamkagua mida hii akimaliza atakuja,
N:B
Ukaguzi wake utachukua siku kadhaa yapaswa uwe na subira mkuu...
Busara zako tu kaka! naziheshimu sana! huyu mtu ana busara tuache zongo plz! Ahsante sana mkuu Himidini!
^^
Heaven on earth
Haa! Usiwe unajificha hujui mwenzio UNDENIABLE
Chakula hakula,kazunguka mitaa yote ya Jf hakuoni,,but I trust in ur wisdom,,siku nyingine utamuarifu.
Halafu pelekeni file kwa Baba V muishi wote,,macho kodo mitaani ujue.
^^
yaani my girl dismynder1 kuna mtu alinifunga sehem
mwezi wa ramadhani umeanza ndo kaniachia!!!!!!!
sasa jamani mshana jr mbona nilikuuliza kama una kifua ukasema eenhe
kwanini umenigeuka umekuja kusema huku wakati nilikwambia iwe siri yako!!!!
Hapa napaswa kufanya maamuzi ya hekima kabla ya dk 30 kupita!
Heaven on earth Heaven on earth Heaven on earth Heaven on earth @ heaven on earth Heaven on earth
"a man with no codes is never a man, my code is 'independent' "
"an easily predictable man can never win a survival battle and he deserve death, i must win a battle so not to die"
Himidini Himidini Himidini Himidini @ himidini Himidini Himidini Himidini Himidini Himidini Himidini