Hebollah inafikiria kutumia njiwa na simu za Kamba kuwasiliana kwa hofu ya Israel kudukua mawasiliano, location na kuweka vilipuzi kwenye simu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
UPDATE: Jana zimelipuka pager, leo zimelipuka radiocall

ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,

Sehemu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.

Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.
1726680601871.png

1726659155381.png
 
Ewe njiwa ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa Hezbollah kwa Hebollah (siwezi tumia simu)

Sehmu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.

Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.

View attachment 3099556
View attachment 3099559
Wakiristo wa jf mnatabika sana
 
Ugaidi wa hisbullah ni upi? Hisbullah anafanya nini ambapo sreal hawafanyi?
Hezbollah wanatarget raia,, Israel wanatarget Hebollah.

Hezbollah yupo tayari kujitoa muhanga kuua raia, Israel anaweka bomu lenye mlipuko mdogo kwenye vifaa vya hezbollah kwa lengo la kuwaua magaidi pekee bila kudhuru raia wengine
 
Wakiristo wa jf hunifurahisha sana mawazo yao. Kama mawazo ndio haya tupo mbali sana kupata maendeleo
 
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2

umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
wemueleze afahamu kwamba Mina napata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,

Sehmu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.

Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba,

ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,

Sehmu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.

Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.

View attachment 3099556
View attachment 3099559
Hizbollah kwa jinsi jana walivyopasuliwa mibusha na mibawasiri hata kutumia majini yao kuwasiliana wanaogopa itakuwa wanaamini majini yapo hacked
 
Ugaidi wa hisbullah ni upi? Hisbullah anafanya nini ambapo sreal hawafanyi?
Mcheki mwamba hapo chini mkombozi wa uislamu na waislam.

Siyo mwengine ni Imaam Hussein Ibn Ali (AS). Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek the ability and opportunity to succeed tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali (AS).

Pagers 😁😄👆🏿

20240918_090850.jpg

Al maktoum
 
View attachment 3099691

Al maktoum
Kumbe wewe ni Mhindi.
 
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,

Sehmu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.

Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.

View attachment 3099556
View attachment 3099559
Majini nayo yamegoma???
 
Nashauri Hezbollah watumie zile simu za China ambazo zinatuma na kupokea signals moja kwa moja kwenye satellites nafkiri ni huawei p...
 
Wakiristo wa jf hunifurahisha sana mawazo yao. Kama mawazo ndio haya tupo mbali sana kupata maendeleo

Malaria, jua kutengenrza hoja.....Na mwingine akisema Waislamu wa JF kama vichwani mwao wamajaza pamba...utasemaje...Jenga hoja kutetea hoja yako....!

Hata kama unaitetea Hezbolah kwa hili kazidiwa akili jamaa yangu Malaria.......! Kaagiza Pagers toka Taiwan, akaambia kampuni ya Ku supply iko Hungary....Bila kujua ni kampuni ya Israel.......!! Na washukuru kuwa Israel iligundua kuna mtu ndani ya Hizbolah anazitilia mashaka.....Maana walitaka wazilipue siku majeshi yao yatakapoingia Lebanon rasmi.....Ikabidi wafanye mpango wa haraka haraka......Na matokeo yao umeona! Poleni sana.....Vita sio jazba tu, na akili pia! Iran analijua hilo.....Kaweka Jazba ya ya Kisasi cha Haniyeh maisha yanaendelea....Pole sana Mkuu...
 
Palipo na Mrusi,iran mchina hakishindikani kitu subiri uone hizbollah bado ipo sana tu. Shida kwamba device za Western na us saivi zitakua haziaminiki tena. Huwei anaenda kupasua anga saivi ngoja
 
Back
Top Bottom