cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Palipo na Mrusi,iran mchina hakishindikani kitu subiri uone hizbollah bado ipo sana tu. Shida kwamba device za Western na us saivi zitakua haziaminiki tena. Huwei anaenda kupasua anga saivi ngoja
Hapo sio uwezo device Mkuu.......unajua kilichotokea......! Mosad walifungua kampuni ya siri, bila kujua Hizbolah akaaingia mkenge wa kununua toka "authorized dealer" Ambaye akaziwekea explosives! Hii inaweza kufanyika kwenye device yoyote ile!
Ni Teknolojia gani imetumika kumuua Haniyeh Iran?Ni akili tu na ujuzi wa kijasusi! Halafu kumbuka Page ni teknolojia ya zamani Mkuu! Hamas aliamua kuitumia kukwepa simu, maana ni ngumu kuidukua!