cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Palipo na Mrusi,iran mchina hakishindikani kitu subiri uone hizbollah bado ipo sana tu. Shida kwamba device za Western na us saivi zitakua haziaminiki tena. Huwei anaenda kupasua anga saivi ngoja
Ndio enzi za ujima aliousema NetanyauUPDATE: Jana zimelipuka pager, leo zimelipuka radiocall
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
Sehemu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.
Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.
View attachment 3099825
View attachment 3099556
Wewe jamaa umenifanya nichekeUPDATE: Jana zimelipuka pager, leo zimelipuka radiocall
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
Sehemu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya simu, Hezbollah waliona watumie vifaa vinavyotumia mawimbi ya radio lakini bado wakadukuliwa na kulipuliwa viuno.
Kwa hali ya sasa imebidi kuchukua tahadhari kuepukana na teknolojia za kisasa na kurudi kwenye teknolojia za zama za kale mfano kutumia Njiwa kupeleka jumbe, kutumia simu za kamba, n.k.
View attachment 3099825
View attachment 3099556
Kwa hiyo hao unaowaita wakristo wa JF uliwaona wakisali kwenye kanisa humo JF?Wakiristo wa jf hunifurahisha sana mawazo yao. Kama mawazo ndio haya tupo mbali sana kupata maendeleo
Wanajulikana tuKwa hiyo hao unaowaita wakristo wa JF uliwaona wakisali kwenye kanisa humo JF?
Unawajua kwa kuhisi?Wanajulikana tu
Wenzio wanapigania ya kwao,wewe unashabikia kwa mlengo wa kwako!tatizoWakiristo wa jf mnatabika sana
Yao mayahudi? Kwani Vatican?Wenzio wanapigania ya kwao,wewe unashabikia kwa mlengo wa kwako!tatizo
Hezbollah hawana vifaa vya ku detect explosives?Hapo sio uwezo device Mkuu.......unajua kilichotokea......! Mosad walifungua kampuni ya siri, bila kujua Hizbolah akaaingia mkenge wa kununua toka "authorized dealer" Ambaye akaziwekea explosives! Hii inaweza kufanyika kwenye device yoyote ile!
Ni Teknolojia gani imetumika kumuua Haniyeh Iran?Ni akili tu na ujuzi wa kijasusi! Halafu kumbuka Page ni teknolojia ya zamani Mkuu! Hamas aliamua kuitumia kukwepa simu, maana ni ngumu kuidukua!
Na kuishi kwanye Mapango sio zama za mawe hizo? maana hawatakaa watoke kama wanaendelea na upuuzi wa kuua watu na watasimamisha shughuli zao na ndio kinachoendelea saiviNdio enzi za ujima aliousema Netanyau