Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana ๐ฑ๐ผ๐ฐ๐๐ผ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji