Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,585
Reaction score
7,766
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina

Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume

Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.

Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana. Nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.

Hivi nakuuiza na nawauliza wanaume wote kwa nin hamjali maisha ya wenzenu. Je au na nyie mlizaliwa kwa MAMA zenu kurubuniwa na SIMU, NGUO na VIZAWADI?
 
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina

Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume

Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.

Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana .......nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.

HIVI NAKUUIZA NA NAWAULIZA WANAUME WOTE KWA NIN HAMJALI MAISHA YA WENZENU....Je au na nyie mlizaliwa kwa MAMA zenu kurubuniwa na SIMU, NGUO na VIZAWADI???
Lea aunty wako acha peleche shangazi mtu😆😆😆

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Watoto wa buku mbili wamezaliwa kwa style hizo
 
Back
Top Bottom