Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Hako katoto hakana hatia lakini! kawazie yaliyo mema.yaan mimi nimlelee kitoto ambacho amekizaa kwa kuhonga simu msichana toka familia duni, Pesa zake ndio ziharabu maisha ya huyo binti....nakwambia ataishi na huyo mtoto wake mimi silei