Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

Sasa mimba si kaipata yeye mwanamke, hadi hapo.unataka kutulaumu kwa mwanadada kupata mimba kweli?
 
nilee ili afanye tena kwa mwingine?
Alikuwa na akili timamu wakati anafanya hilo jambo. Ajifunge mkanda kama wababa wafanyavyo aache kucheza na maisha yake na uzao wake, la sivyo anaweza kujikuta na yeye anaishia jela

Nadhani labda ni sababu ya kukosa kuona mfano hai/uwepo wa baba akaona wanaume wanavyotakiwa kuwa, anaona ni jukumu la mwanamke kuhudumia familia kama ambavyo ulikuwa ukifanya wakiwa wadogo. Na hata akikufuata, muelezee tu kwa upendo lakini kwa msimamo kuwa inampasa kuhudumia mtoto wake
 
Sharobaro tu hawezi kulea mwanamke bado dunia haijamcharaza
Hapana, kuna shida hapa. Usimtetee kwa maamuzi yake, unamuendekeza. Mtoto wa kiume sifa ni kujishughulisha kwa chochote kitu. Katika usharobaro wake, alee kilicho chake
 
Baba & mama gerezanii.....()

Nliwatunza wadogo zangu.....()

Changamoto za mdogo wake....()

Mtoa mada yupo Kenya familia yake ipo Tanzania....()
1.Baba ba mama gerezani....YES baba aliwekwa korokoroni TZ, Mama na sisi tukatorokea Kenya baadae Mama akakamatwa na kuunganishwa na Baba kwenye ile kesi
2. Niliwatunza wadogo zangu wooote wadogo na mimi tukiwa wanafunzi Kenya wkt Mama na Baba wanaendelea na kifungo Kisongo
3.Mtoa mada yupo Kenya....No baada ya Mama kuachiwa 2 years period tulirudi TZ baadae naye akaachiwa baada ya miaka tatu thus five
 
Alikuwa na akili timamu wakati anafanya hilo jambo. Ajifunge mkanda kama wababa wafanyavyo aache kucheza na maisha yake na uzao wake, la sivyo anaweza kujikuta na yeye anaishia jela

Nadhani labda ni sababu ya kukosa kuona mfano hai/uwepo wa baba akaona wanaume wanavyotakiwa kuwa, anaona ni jukumu la mwanamke kuhudumia familia kama ambavyo ulikuwa ukifanya wakiwa wadogo. Na hata akikufuata, muelezee tu kwa upendo lakini kwa msimamo kuwa inampasa kuhudumia mtoto wake
Mim namsubiri kwa hamu ntamwambia sio alee tu aoe kbs staki bebea watu majukumu ya kijitakia nimlee yeye na mwanae?
 
Hapana, kuna shida hapa. Usimtetee kwa maamuzi yake, unamuendekeza. Mtoto wa kiume sifa ni kujishughulisha kwa chochote kitu. Katika usharobaro wake, alee kilicho chake
Kazi anayo ila ujana mwingi mpaka namwonea huruma huyo binti....amepanga mbali na home ili tusiwe tunajua mienendo yake sasa yamemkuta
 
Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.
Maskini ya Mungu anayezalisha mwenyewe ana hela ya kuhonga tu ila hata uwezo wa kulea hana anatarajia Dada yake ndiye amlelee...mwisho wa siku huyo dogo atabanduliwa nyuma ataishia kuwa shoga tu.
Yaani mtoto tangu akiwa mchanga anategemea kulelewa kwa msaada wa ndugu?

Nashukuru Mungu sina mdogo wangu mwenye akili finyu kama hizi
 
Wachambuzi wa maudhui katika fasihi andishi mmegundua nini katika andiko la huyu bidada
Vijana hawana hata mtaji wa biashara hata kula yao tu ni shida ila pesa wanazopata ni kuhonga na kuzaa hovyo.

Baadae wanakuja kulalamika eti ccm imesababisha maisha magumu😅😅
 
Maskini ya Mungu anayezalisha mwenyewe ana hela ya kuhonga tu ila hata uwezo wa kulea hana anatarajia Dada yake ndiye amlelee...mwisho wa siku huyo dogo atabanduliwa nyuma ataishia kuwa shoga tu.
Yaani mtoto tangu akiwa mchanga anategemea kulelewa kwa msaada wa ndugu?

Nashukuru Mungu sina mdogo wangu mwenye akili finyu kama hizi
Dogo kanikatisha sana tamaa....ingawa kazi anayo ila ujana mwingi 100% kiasi kwamba mpaka natamani asimamishwe kazi ili amkumbuke MUNGU na ajue wanayopitia watu wengine
 
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina

Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume

Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.

Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana. Nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.

Hivi nakuuiza na nawauliza wanaume wote kwa nin hamjali maisha ya wenzenu. Je au na nyie mlizaliwa kwa MAMA zenu kurubuniwa na SIMU, NGUO na VIZAWADI?
Hili andiko linatafakarisha sana.

Ni kweli kwamba kwa sasa kuna watoto wanazaliwa kwa sababu ya tamaa za wazazi wao na sio malengo ya uzazi.
 
Vijana hawana hata mtaji wa biashara hata kula yao tu ni shida ila pesa wanazopata ni kuhonga na kuzaa hovyo.

Baadae wanakuja kulalamika eti ccm imesababisha maisha magumu😅😅
Hahahah ingalao umenichekesha
 
Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana. Nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.
Huenda hii ni Karma...unahitaji kufanya maombi ya nguvu sana...una wadogo zako wa kike? Wahi haraka sana
 
Dogo kanikatisha sana tamaa....ingawa kazi anayo ila ujana mwingi 100% kiasi kwamba mpaka natamani asimamishwe kazi ili amkumbuke MUNGU na ajue wanayopitia watu wengine
Sasa kazi anayo kwanini anasema alete mtoto kwako? Au ndivyo mlilelewa kupenda mteremko?
 
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina

Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume

Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.

Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana. Nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.

Hivi nakuuiza na nawauliza wanaume wote kwa nin hamjali maisha ya wenzenu. Je au na nyie mlizaliwa kwa MAMA zenu kurubuniwa na SIMU, NGUO na VIZAWADI?
Mkuu hapo hakuna shida kabisa na ndio NATURE ILIVYO (NATURE INGESEMA ILETE MAADILI DUNIA INGEKUA NA KIZAZI KICHACHE NA DHAIFU) asilimia kubwa tumepatikana kwa staili hiyo Na ndio maana ni Shupavu (TUKO FIT.)

Kuna wengine wamepakana kwa swaga/maneno ya mzee, wengine kwa kudanganywa/ahadi faki wangine walibakwa...

Sasa ukitaka upate majibu nenda kinyume chake, yaani mzungumzie mzee na sio mama.

Hapo tutakutana na nature hiyo nature haijali binadamu kapatikanaje yenyewe inataka kuona kizazi kinaendelea kuwepo duniani kwa namna yeyote ile,

Kwa mwanaume nature imemtawala kwenye matamanio akiona tu umbile la msichana basi atamtamani katika fikra zake atawaza kumaliza tu haja zake na sio kwa lengo la kuzaa kumbe nature lengo lake ikulazimishe umfosi mwanamke kwa njia yeyote ile hadi mkutane mpate kizazi.

Na nature ilivyo na ufahamu wa hali ya juu... Kwa mwanamke imeweka uwezo wa mwanamke kuchagua mwanamme mwenye sifa/vinasaba za kuweza kupambania familia kwa namna yoyote ile, survival for fittest. Wanawake pasipo kujijua/kua na ufahamu huwa wanavutiwa na mwanaume wajanja wajanja/swaga nyingi/uongo na malayamalaya, nature imafanya hivi kwa makusudi ili kupata kizazi chenye nguvu/kinachoweza kikahakikisha uwepo wa kizazi shupavu cha binadamu milele na milele kivipi? ;

1. Kama wanawake wanapenda mwanaume wahuni wahuni hii inamaana vinasaba vya kizazi kipya vitakua na uhuni/vitarithi hivyo kadri uhuni utakavyozidi kufanyika ndio kizazi kinapatikana na kunakuwa na uhakika wa kizazi na kizazi kuendelea kuwepo duniani.

2. Kama wanawake wanapenda mwanaume wenye roho ngumu wasio jari mabandidu hii inamaana nature inataka kizazi katili kinachoweza kupambana, vita au kumlinda familia na hatari yoyote ile ili kiweze ku survive kizazi hadi kizazi.

Kama wanawake wanapendaga wanaume waongo, maneno mengi hi inaashiria mwanaume huyo anauwezo wakushawishi na anaweza akashawishi/akalaghai/akatapeli huko nje ilimradi tu familia isishinde njaa.

Sasa sifa hizo hapo juu katika matakwa nature ni sifa muhimu sana kwasababu inatakiwa kuwepo katika vizazi na vizazi ile jamii iwe na nguvu, (SURVIVAL FOR FITTEST)
 
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina

Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume

Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia 100% akiongea kwa simu....kile kidemu nilikihonga SIMU kikapata mimba sijui ntafanyeje kimejifungua nataka nikaongee na Shemeji (Mume wangu) nimwombe sister alee kitoto kwani mazingira ya kile kidemu ni duni sana ataniharibia mtoto.

Hawa wadogo zangu niliwalea (tukiwa KENYA tulipokuwa tumetorokea baada ya BABA kukamatwa) kwa shida sana. Nilijidhalilisha ili wale kipindi BABA .MAMA naye alikamatwa na kuletwa Tanzania Gerezani.

Hivi nakuuiza na nawauliza wanaume wote kwa nin hamjali maisha ya wenzenu. Je au na nyie mlizaliwa kwa MAMA zenu kurubuniwa na SIMU, NGUO na VIZAWADI?
Mkuu kutungwa mimba za members wa Jf unaowauliza swali hilo, zilitungwa kwa mazingira tofauti tofauti.

Kuna mimba za bahati mbaya kabisa condom kupasuka kati kati ya shuhuli, kwenda kuitoa mimba ikagoma ujue!

Wengine kwenye madanguro kabisa mimba zao zilitungwa, sasa wewe unataka kuuliza swali gani hilo?
 
Back
Top Bottom