Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

Wachambuzi wa maudhui katika fasihi andishi mmegundua nini katika andiko la huyu bidada
tumegundua kuwa bidada alijidharirisha sana katika kuwalea wadogo zake japo hajazungumza kwa namna gani, ila pia imemuuma kusikia mwanamke mwenzake anajidharirisha tena ili apate simu?

Hapo tukichambua zaidi makosa ya kiufundi tunaona aliyehongwa ana makosa makubwa kuliko muhongaji
 
Japo sio mlengwa wa kundi lilioulizwa ila naweza jibu tu " it was written. Haijalishi kwa njia Gani.
tatizo litakua mindset yako tu.
 
Mambo mengine huwa sijui mnayafukunyua ya nini,mtoto kashazaliwa basi,afadhali huyo kazaliwa kwa sababu ya simu,je ukikutana aliyezaliwa kwasababu ya chipsi kavu utasemaje
Hivi baba mtu unajisikiaje...kuwa chips kavu ndio ilimlteta mtoto duniani
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh!!???
 
Japo sio mlengwa wa kundi lilioulizwa ila naweza jibu tu " it was written. Haijalishi kwa njia Gani.
tatizo litakua mindset yako tu.
yaan mimi nimlelee kitoto ambacho amekizaa kwa kuhonga simu msichana toka familia duni, Pesa zake ndio ziharabu maisha ya huyo binti....nakwambia ataishi na huyo mtoto wake mimi silei
 
yaan mimi nimlelee kitoto ambacho amekizaa kwa kuhonga simu msichana toka familia duni, Pesa zake ndio ziharabu maisha ya huyo binti....nakwambia ataishi na huyo mtoto wake mimi silei
Yani umeona ugumu kisa sababu za mtoto kuzaliwa ni sababu ya simu mtu kuhongwa ndio iwe tatizo? Na wenyewe wadogo zako wangekukataa ulivyojidhalilisha ili uwaleee? Shame on you. Tatufa sababu nyingine ya kukataa kulea sio huu utumbo😏😏
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh!!???
Hatari sana.
 
Attachments

  • FbVideo_1729883181920.mp4
    1.5 MB
Yani umeona ugumu kisa sababu za mtoto kuzaliwa ni sababu ya simu mtu kuhongwa ndio iwe tatizo? Na wenyewe wadogo zako wangekukataa ulivyojidhalilisha ili uwaleee? Shame on you. Tatufa sababu nyingine ya kukataa kulea sio huu utumbo😏😏
Maisha ya kitoi yanaweza kuwa magumu kwa sababu atakua bila mwongozo wa kutosha kutoka kwa mzazi aliyekomaa
 
Baba & mama gerezanii.....()

Nliwatunza wadogo zangu.....()

Changamoto za mdogo wake....()

Mtoa mada yupo Kenya familia yake ipo Tanzania....()
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…