K Kama ipo ipo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,119 Reaction score 1,728 Oct 27, 2024 #61 Marytina said: yaan mimi nimlelee kitoto ambacho amekizaa kwa kuhonga simu msichana toka familia duni, Pesa zake ndio ziharabu maisha ya huyo binti....nakwambia ataishi na huyo mtoto wake mimi silei Click to expand... Hako katoto hakana hatia lakini! kawazie yaliyo mema.
Marytina said: yaan mimi nimlelee kitoto ambacho amekizaa kwa kuhonga simu msichana toka familia duni, Pesa zake ndio ziharabu maisha ya huyo binti....nakwambia ataishi na huyo mtoto wake mimi silei Click to expand... Hako katoto hakana hatia lakini! kawazie yaliyo mema.
halfcastmangi JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 605 Reaction score 1,644 Oct 27, 2024 #62 Mpaji Mungu said: Wachambuzi wa maudhui katika fasihi andishi mmegundua nini katika andiko la huyu bidada Click to expand... Kwamba yeye ndio ana mimba sababu ya simu🤣🤣
Mpaji Mungu said: Wachambuzi wa maudhui katika fasihi andishi mmegundua nini katika andiko la huyu bidada Click to expand... Kwamba yeye ndio ana mimba sababu ya simu🤣🤣
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Oct 28, 2024 #63 Bora huyo, kuna mwingine alihutaji chips-kuku na soda, baaasi!
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 8,435 Reaction score 6,476 Oct 28, 2024 #64 Fake P said: I'd yako nyingine ni ipi kiongozi.🤔 Ili nikurudishie ukampeni Uchagani Hope urassa meku akeeee Click to expand... Nina I'd moja tu shem!
Fake P said: I'd yako nyingine ni ipi kiongozi.🤔 Ili nikurudishie ukampeni Uchagani Hope urassa meku akeeee Click to expand... Nina I'd moja tu shem!
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Oct 28, 2024 #65 PSL god said: Nina I'd moja tu shem! Click to expand... Ignored.