mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Ahahaha hili zee linamuoa shangazi sema ndo hvoProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule aliyeshtakiwa kwa rushwa ya ngono majuzi anaitwa nani tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi zetu: Prof. Maghway, Dr. Othman na Dr. A. Lwaitama (Foreign Languages and Linguistics); Dr. Ngware, Prof. Haroub Othmani, Prof. Issa Shivji na Wamba Dia Wamba; Bila kuwasahau Prof. Ishumi, Prof. Komba na Prof. J. Galabawa (Department of Educational Philosophy and Foundation).Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha juu kabisa cha cha elimu ulichofikia!
Tafadhari bandugu, muelezee kidogo kivipi alikufurahisha ili kama atajua basi atiwe moyo na hayo afanyayo! Kumbuka tukitaka kuwananga huwa walimu wetu kwa ubaya huwa hatuishii kutaja majina tu bali tunaelezea kwa kirefu hata kujaza gazeti. Leo eleza hata kwa mstari mmoja tu kumjurisha alivyougusa moyo wako! Niishie hapo
UdoSol
Architect Besha bado hajapata PHD au ndio anafanya PHD, na mfahamu ni Collegue mate wangu, alifanya kazi Land Plan -Icon Aerchiects now called Epitome Architect Limited. Prof Mosha was by then Director of K&M Architect LImited a prestigious Architectural Firm now own and directed by Arch Albert MwmbafuR.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Sure.. seems you know them very well Architect!!... thumbs up!...Yes, Besha is currently doing his PHD now. Arch. Daniel Mbisso and If I am not Mistaken, Arch Jaffary Salehe, already have their PHD's.Architect Besha bado hajapata PHD au ndio anafanya PHD, na mfahamu ni Collegue mate wangu, alifanya kazi Land Plan -Icon Aerchiects now called Epitome Architect Limited. Prof Mosha was by then Director of K&M Architect LImited a prestigious Architectural Firm now own and directed by Arch Albert Mwmbafu
Asante, Sinza Kumekucha/Palestina ndo maeneo yangu, I will trace the premise.Ni duka la nguo na urembo LA Jacq mtoto wa prof.Afrikasana iko shekilango road kama unaenda Bamaga tokea Sinza Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP Prof Nzali.....Alikuwa Prof Nzali, electrical Machines pale UDSM 1999