Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.

Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!

Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha juu kabisa cha cha elimu ulichofikia!
Tafadhari bandugu, muelezee kidogo kivipi alikufurahisha ili kama atajua basi atiwe moyo na hayo afanyayo! Kumbuka tukitaka kuwananga huwa walimu wetu kwa ubaya huwa hatuishii kutaja majina tu bali tunaelezea kwa kirefu hata kujaza gazeti. Leo eleza hata kwa mstari mmoja tu kumjurisha alivyougusa moyo wako! Niishie hapo
Enzi zetu: Prof. Maghway, Dr. Othman na Dr. A. Lwaitama (Foreign Languages and Linguistics); Dr. Ngware, Prof. Haroub Othmani, Prof. Issa Shivji na Wamba Dia Wamba; Bila kuwasahau Prof. Ishumi, Prof. Komba na Prof. J. Galabawa (Department of Educational Philosophy and Foundation).
 
Mwalimu wangu wa upishi pale kwenye chuo cha hoteli managementi
Au huu uzi ni wa kutaja wa vyuo vikuu pekee sie wa vyuo vya mitaani hatumo?
 
Dr msigwa (mzungu) pale nit. Nakumbuka jamaa anatoa pepa ya hesabu na hata utumie njia gani huwez kupata jibu yaan siku mnarudishiwa katasi unakuta amepiga mikasi tu halaf anaweka 7/10.. jamaa akitoa pepa ww janza njia zinazopelekea kupata jibu Ila huwezi kupatia jibu
 
R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Architect Besha bado hajapata PHD au ndio anafanya PHD, na mfahamu ni Collegue mate wangu, alifanya kazi Land Plan -Icon Aerchiects now called Epitome Architect Limited. Prof Mosha was by then Director of K&M Architect LImited a prestigious Architectural Firm now own and directed by Arch Albert Mwmbafu
 
Architect Besha bado hajapata PHD au ndio anafanya PHD, na mfahamu ni Collegue mate wangu, alifanya kazi Land Plan -Icon Aerchiects now called Epitome Architect Limited. Prof Mosha was by then Director of K&M Architect LImited a prestigious Architectural Firm now own and directed by Arch Albert Mwmbafu
Sure.. seems you know them very well Architect!!... thumbs up!...Yes, Besha is currently doing his PHD now. Arch. Daniel Mbisso and If I am not Mistaken, Arch Jaffary Salehe, already have their PHD's.

If you are Besha's colleague then you must be more senior than me.. thumbs up Senior Architect!
 
Back
Top Bottom