Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

 
Captain Konsi Mgawe (Mzee wa rula) -Navigation na Meteorology huyu akikufundisha utatamani aendelee siku nzima.

Moja ya wataalamu wa kipekee na hazina ya sasa kwenye sekta ya bahari.
 
Dr. Daniel MAEDA Molecular biology UDSM anajua sana ila mitihani yake dah na rafiki yake Dr.Makene wanatisha sana
 
Dr.Rodric Ndomba
Dr.Mpalanzi
Dr.Faraja Mwendamseke
Mr.Ilonga
DR.PROTAS
DR.kaberege.
D.k.Mosha
Kuna huyu prof.pratap nasikia yuko powa sana.
Nk.Udsm Duce.

Kaberege kumbe ni doktaπŸ˜ŽπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Giant Ntogwisangu...siku moja alimkosesha denti mmoja kwenye swali ambalo copyright from Guyton, jamaa akabebelea Guyton yake kuomba aongezewe marks! Unajua Ntogwi alimwambiaje?....Who is Guyton, I say no...! Alikuwa mbabe mwisho?

Hiyo ndo 'sungu' [emoji3]. Physiology ilikua inaitwa sungu enzi hizo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Ngasapa wa anatomy, such a gentleman


Sent using Jamii Forums mobile app
Embryology alikuwa anafundisha na zile transparent enzi hizo! Mzee wa cumulus oophorus. Huyu amekuwa mkaguzi wa vyuo nchini kwa muda mrefu sana! Anapaswa apewe chuo kimojawapo cha madaktari akitengeneze kwa std zinazotakiwa!
 
The late Prof. Caneiro! He was such a great surgeon! RIP our mentor!
 
Giant Ntogwisangu...siku moja alimkosesha denti mmoja kwenye swali ambalo copyright from Guyton, jamaa akabebelea Guyton yake kuomba aongezewe marks! Unajua Ntogwi alimwambiaje?....Who is Guyton, I say no...! Alikuwa mbabe mwisho?
That was unfair , otherwise he should demonstrate an author was wrong
 
Dr.Longopa wa Muhas?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
That was unfair , otherwise he should demonstrate an author was wrong
Hivi Ntogwi unamsikia au unamjua? Jamaa lenyewe lilivyopanda hata nguvu ya kubishana unaitoa wapi!? Kipindi hicho ilikua ubabe ubabe tu! Siku hizi nasikia wamepunguza sana ubabe, sijui uzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Ila yupo vizuri na physiology yake and his efforts outweights his shortfalls, so he deserves to be mentioned here!
 
Dr. Hella yeye alikuwa anajiita Mwalimu Hella.

prof. Mlambiti na test zake zile.......dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Mlengela hakukufundisha???
Yule mzee hadi sasa sielewi elewi nilivukaje somo lake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Salumu Matotola udom, pale jamaa alikiwa anafundisha QM ikawa laini kama chips yai kiasi cha kupiga mabanda ya uhakikaaaa
QM ilikua laini km chips yai?
QM hii hii ya kwenye Economics mwaka wa 3?
Econometrics na QM course sitazisahau hizi. Ingawa sikuwai kusapua lakin zilinikondesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…