Pratap Hana shida, Shida ilikuwa kwa Dr urassa, Huyu alikuwa haji DUCE&MUCEDr.Rodric Ndomba
Dr.Mpalanzi
Dr.Faraja Mwendamseke
Mr.Ilonga
DR.PROTAS
DR.kaberege.
D.k.Mosha
Kuna huyu prof.pratap nasikia yuko powa sana.
Nk.Udsm Duce.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mate yeye alikuwa anataka ulifupishe jina lake ujue!! usiseme mbonile sema..........; si yule 'from department of geography??
Ntogwusangu alikuwa kweli sungusungu wa physiology nasikia sasa yuko kampala universityHivi Ntogwi unamsikia au unamjua? Jamaa lenyewe lilivyopanda hata nguvu ya kubishana unaitoa wapi!? Kipindi hicho ilikua ubabe ubabe tu! Siku hizi nasikia wamepunguza sana ubabe, sijui uzee😂😂😂😂😂! Ila yupo vizuri na physiology yake and his efforts outweights his shortfalls, so he deserves to be mentioned here!
Hahaha huyohuyo, mzee alikuwa chenga yuleMate yeye alikuwa anataka ulifupishe jina lake ujue!! usiseme mbonile sema..........; si yule 'from department of geography??
Suit zake zote over size na zilikuwa hazikosi kata "k". Hahaha 50%shule 50% nyingine ni story za uwanja wa fisi.Hahaha huyohuyo, mzee alikuwa chenga yule
[emoji16][emoji16][emoji16]Suit zake zote over size na zilikuwa hazikosi kata "k". Hahaha 50%shule 50% nyingine ni story za uwanja wa fisi.
Kabisa, ruhusa! Wakumbuke tu walimu wako!Sisi ambao hatujasoma university ,tuwakumbuke walimu wetu wa shule ya msingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.na alituambia yoyote anaejijua ameharibu tafadhali anione leo kabla ya saa sita mchana na hiyo ninsaa tano karibu na na nusu.kisha akatoka. Jinsi anatembea ni kumfatakama misukule yani anaongea huku anatembea na nyie mnamjibu huku mnatmbea tena kasi.yule baba ni mkali jamani.siamini kama niliokoka kilengeo chake.sina hamu na NgailloIlikuwa ni supplementary exams?
Mkuu pratap hiyo kichwa I won't forget alivyokuwa anashuka anatomy and physiology yuko poa sema mtihani wake sasa ni mgumu balaa.aliwahi kutoa UE ya ajabu watu hawakutegemea.Dr.Rodric Ndomba
Dr.Mpalanzi
Dr.Faraja Mwendamseke
Mr.Ilonga
DR.PROTAS
DR.kaberege.
D.k.Mosha
Kuna huyu prof.pratap nasikia yuko powa sana.
Nk.Udsm Duce.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mwanafunzi wake? Sio kwa kukosea huko mzee!Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
QM ilikua laini km chips yai?
QM hii hii ya kwenye Economics mwaka wa 3?
Econometrics na QM course sitazisahau hizi. Ingawa sikuwai kusapua lakin zilinikondesha