Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hivi Ntogwi unamsikia au unamjua? Jamaa lenyewe lilivyopanda hata nguvu ya kubishana unaitoa wapi!? Kipindi hicho ilikua ubabe ubabe tu! Siku hizi nasikia wamepunguza sana ubabe, sijui uzee😂😂😂😂😂! Ila yupo vizuri na physiology yake and his efforts outweights his shortfalls, so he deserves to be mentioned here!
Ntogwusangu alikuwa kweli sungusungu wa physiology nasikia sasa yuko kampala university
 
Akwilapo Chemistry UDSM...now Katibu Mkuu wizara ya Elimu...alikuwa fair SANA.

Everyday is Saturday.................. 😎
 
Ilikuwa ni supplementary exams?
Ndio.na alituambia yoyote anaejijua ameharibu tafadhali anione leo kabla ya saa sita mchana na hiyo ninsaa tano karibu na na nusu.kisha akatoka. Jinsi anatembea ni kumfatakama misukule yani anaongea huku anatembea na nyie mnamjibu huku mnatmbea tena kasi.yule baba ni mkali jamani.siamini kama niliokoka kilengeo chake.sina hamu na Ngaillo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr.Rodric Ndomba
Dr.Mpalanzi
Dr.Faraja Mwendamseke
Mr.Ilonga
DR.PROTAS
DR.kaberege.
D.k.Mosha
Kuna huyu prof.pratap nasikia yuko powa sana.
Nk.Udsm Duce.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pratap hiyo kichwa I won't forget alivyokuwa anashuka anatomy and physiology yuko poa sema mtihani wake sasa ni mgumu balaa.aliwahi kutoa UE ya ajabu watu hawakutegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QM ilikua laini km chips yai?
QM hii hii ya kwenye Economics mwaka wa 3?
Econometrics na QM course sitazisahau hizi. Ingawa sikuwai kusapua lakin zilinikondesha

Quantative Methods for Business Decisions. Ni kozi ngumu sana na ndio ilkuwa inasifika sisi tulisoma mwaka wa pili ila mimi hesabu hazikunisumbua na mwalimu nilkuwa namuelewa sana
 
Back
Top Bottom