Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hatari Sana.wali mfrastrate mno.kuna siku nilikutana naye hapo maeneo ya Court of Appeals to daa! Alikuwa amenyongonyea Sana!
Kule kwenye mawese hakufai ndugu yangu.
Mara ya mwisho naonana naye alikuwa University of Pretoria, sasa sijui kama bado yuko huko au lah, maana aliikimbia awamu ya nne.
 
Kule kwenye mawese hakufai ndugu yangu.
Mara ya mwisho naonana naye alikuwa University of Pretoria, sasa sijui kama bado yuko huko au lah, maana aliikimbia awamu ya nne.
Mtakuja tuletea na corona kaeni humuhumu nchini
 
Tumauliza alipo Prof.Kabudi tumpelekee matunda,au ugonjwa wake unakatazwa kutembelewa?
Kama hujui basi hayakuhusu! Huko alipo anayo matunda tena ya dom na meya! Hayo yako yale mwenyewe!
 
Kule kwenye mawese hakufai ndugu yangu.
Mara ya mwisho naonana naye alikuwa University of Pretoria, sasa sijui kama bado yuko huko au lah, maana aliikimbia awamu ya nne.
Kuna kipindi Kama 2017 au 2018 nilikutana na Kuna mtu alinieleza alikuwa amefunngua ofisi ya uwakili!
 
Wanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
 
Wanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…