Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Wanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.
 
Dr. J. Ochumbo - Ruaha Catholic University (RUCU), ni mkenya, ana akili sana na anapenda kuhoji.

Advanced HRM - hata kama hauna msingi wa kozi za Rasilimali Watu kwa bachelor degree, akikufundisha yeye unalielewa somo fresh na unafaulu vizuri kabisa. Test zake nyingi ni open test, alikuwa committed na fair sana. Mungu ampe maisha marefu na afya njema asambaze elimu kwa wengi zaidi.
 
Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM 2018.
Namkubali sana sana huyu jamaa, Nakumbuka sana yale mafundisho yake ya ku behave kazini, interview dah! Hapa ndipo namkumbuka kila nikienda kwa interview,Maisha baada ya shule nakumbuka.
CNMS 2017
 
Mwamba ni mtaalamuu acha tu,anafundisha anaongeza na vistori daahh afu kidogo quiz hahahah hapo hacheki tena.Shijaa Mkuu namkumbuka sana yanii.
 
Wanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
Hapo Kuna degree za chupi nyingi Sana performance makaxini zero, Kuna kijana aliajiriwa Kama mwanasheria wakampuni akaambiwa atengeneze employment contract akashindwa
 
We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.
Unabishana na kichaa, hiyo comment yake ya mwisho ukupaswa kumjibu ni tope tu! etii udom ni sawa na zoom college " huyu nia yake akugeuze nawe huwe kichaa mweziee mbishane for nonsense.
 
Mpuuzi sana huyo dogo
 
We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.
Povu la graduate wa chuo cha kata kutalijua tu.

UDOM ni chuo wanachoenda wale walikosoa nafasi UDSM na Muhimbili. Ndio maana kinaitwa chuo cha vilaza. Wale wenye three na two za mwisho mwisho ndo wanaenda huko. Division one clean zinaishia mlimani chuo bora Africa
 
Back
Top Bottom