Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Sio kwamba alibaniwa!
Alikuja kupewa mwishoni huku. Kafariki akiwa na hiyo title tayari.
IMG_20200405_105708.jpg
 
Nakusamehe wewe ni mjinga popote apo ulipo jisemee.Unaonekana kijana mwenye kupenda sifa sifa na kujifanya mjuaji ilhali hujui chochote.Ngoja niishie hapa.
Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye three
 
Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye three
Hahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.

Heshimu taaluma za watu asee.Au kijana wa Ufipa nini wewe???? Maana Huku kwetu CCM hatunaga watu kama aina yako
 
Hahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.Heshimu taaluma za watu asee.Au kijana wa Ufipa nini wewe???? Maana Huku kwetu CCM hatunaga watu kama aina yako
Kumjibu huyu Mpumbavu ni sawa na kuhalalisha nawewe upo Kama yeye Mkuu...achana nae tu

Typed Using KIDOLE
 
Hahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.Heshimu taaluma za watu asee.Au kijana wa Ufipa nini wewe???? Maana Huku kwetu CCM hatunaga watu kama aina yako
Wenye division one wanaenda mlimani.... nyie mlo wa three ndo mnaenda UDOM... mwenyekiti wenu mwenyewe wa chama aliwaita vilaza.... ungekomaa ukapata one ili uje mlimani saiz ushachelewa kubali matokeo tu kwamba umesoma chuo cha kata
 
Yes mkenda alikuwa international economics au monetary economics???

Those two course were good for me sio upuuzi wa econometric au intermidiate micro economics.

Mambo ya lagrange theory sijui nimepatia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkenda alikuwa Macro and International Economics.

Econometrics ilikuwa nzuri ukielewa concepts.

Langrange ipo Econometrics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu la graduate wa chuo cha kata kutalijua tu.

UDOM ni chuo wanachoenda wale walikosoa nafasi UDSM na Muhimbili. Ndio maana kinaitwa chuo cha vilaza. Wale wenye three na two za mwisho mwisho ndo wanaenda huko. Division one clean zinaishia mlimani chuo bora Africa
Hebu acheni malumbano yasiyo na msingi! Hizo div one sio kila mara zina'reflect' uhalisia! Kuna watu wanasoma kwa shida sana kiasi kwamba yule mwenye one ya 3 subjected to similar circumstances anaweza asipate ata hiyo ya div 3! Hivyo msiwa 'ridicule' waliopata div 3, maana huwezi jua maswahibu waliokutana nayo!
 
Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli imekuwa ikijirudia rudia kwa maprof pale udsm. Kuna mmoja alitaja hii akaongezea na elimu UA mkewe kuwa ni PhD holder yeye ni prof akatupa home kugundua kitanda wanacholalia kitakuwa na degree ngapi hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Professor Victor Mlekwa na Marehemu Dr Mtanyata.
Wa kwanza yeye akiingia kufundisha ni kucheka tu mwanzo mwisho anafurahi tu, sasa Dr. Mtanyata yeye ni matusi tu ya nguoni, yeye anaweza kufundisha kama Mara kumi tu semester nzima.

Professor Galabawa, dah Mbaya alikua na nyodo sijapata kuona, kwenye Masters akanipa B+ bahati nzuri External Examiner akanipa A.

Professor Yohana Msanjila yeye ni mzee wa busara tu, alikua Katibu wa CCT chaplaincy UDSM.

Dr. Leornad Chamuriho, kwa kweli alikua kama mzazi, hakua na nyodo, ndio Permanent Secretary sijui wa Wizara gani huko.

Professor Mbunda, babu anachomekea utadhani anachomekea na Mwiko, nadhani yale mashati alikua anachomeka kwanza kwenye pensi ndani, kyupi, suruali then mkanda.

Dr. Leonard Chamuriho, ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi- Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
 
Back
Top Bottom