Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Mkuu mbona umemexpose Sana Prof msambwa , sio fair najua hauna Nia mbaya sema sawa kusema kakupa............ukeshe nayo , that sounds awkward bro, just edit
Dr. MSAMBWA popote ulipo chukua tano yangu hii....

Hutakagi shida we jamaa, nilipata sup kozi yake the day before exam alinipa marking scheme yote nikakeshe nayo kesho yake ni mimi na kumbukumbu zangu tuu ( hahah daah )

Now he's a Dr.MWANYIKA
nyoko zake huyu mzee, mwaka wa kwanza nabeba kozi yake.... alinitibua mzee, ananibebesha kozi mwaka wa kwanza kuingia mwaka wa pili af naingia mwaka wa pili nakutana na jitu jingine afadhali ya yeye....
nakuja kupata sup ya carry over!! nilihisi dunia ndo inaishia pale asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda na wewe kachukue kama rahisi,Walimu wote asilimia kubwa UDOM wametoka UDSM,we bwana achaga upuuzi wa kuandika chochote unachojisikia kwa kivuli cha JF,kuwa msomi mpuuzi wewe.We hujui degree watu wanavyopata kwa shida huko UDOM mpaka watu wanakesha L room afu mtu unakuja na upuuzi humu.Heshimu watu asee.Hivi ukikaa huko nawe utajiita Great Thinker???? Dahh Mjinga sana wewe jamaa.
Acha kukaripa we mhitimu wa chuo kikuu cha kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwamba mmoja alikuwa anaitwa Kadege pale UDSM mzee wa Linguistics ,alikuwa akikwambia mwaka huu lazima niondoke na shato tatu, na kweli ikifika September lazima asepe na kijiji.Ila alijichanganya akaenda kusoma sheria pale Faculty of Law maPro wa UDSM wakapita naye wakamwambia tulia bwaa mdogo hacha munkali.

Nalikubali sana lile jembe,lilikulaga shavu la ukuu wa wilaya kipindi cha JK,sijuhi yupo wapi ss?
 
DR SIASA ISSA MZENZI WA UDSM MZEE BABA AKIKUFUNDISHA AC 100 NA AC 101 FIRST YEAR KULE B.COM YANI HAPA MZEE BABA NDIO UTAJUA NINI MAANA YA MAKABATI YA ACCOUNTS YANI MIE NIMESOMA HGL MPAKA NAMALIZA BCOM 2012 SIKUWAHI KU BALANCE BALANCE SHEET STATEMENT HATA MOJA MPAKA NAMALIZA HADI MASTERS.ILA NIKAJA NIKAGUNDUA KUWA MARKS ZA KWENYE MITIHANI YA ACCOUNTS HUWA ZINAPATIKANA KWENYE ZILE CORRECT ENTRIES.
Dr Siasa Yuko vizuri
 
Kuna Dr mmoja pale udsm upande wa education nimemsahau jina akiingia pindi akianza kutema cheche lazima jino lidondoke anaokota analifuta analichomeka ilikuwa burudan sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Babu Mbuuuuuuche,,,,mzee wa totoz.Nashukuru hakuwahi nipeleka majira ya joto.
Mara ya mwisho wanasema alikuwa SAUTI_Mwanza as for now sijui yupo wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye three

Kwani huko mtaani (baada ya graduation) mnatofautiana kwenye kudeliver? Are a better choice in your industry ? Au kichwa kikubwa tuu ? Like is a doctor from Udom worse than one from Muhimbili or UDSM ? May be it is a problem of stereotyping, just like racism is. My message is; it doesn’t matter how one enters the University, it is the exit quality that matters.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Kingu physics na DR. KYOBE Chemi.pale ST JOHN'S UNIVERSITY The guys were strict in exams mpaka natamani acha chuo.But I did it ivo ivo
 
Back
Top Bottom