Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Prof Urassa J, K sua, Yahaya Nawanda, Dr. Mbwambo, Mwakapina
Nawanda alikuwa misifa sana yule alipenda tumia nafasi ake kula watoto akiwarudisha probation..... Urassa alikuwa poa sana wakati huo alikuwa dr, dr mbwambo mzee wa nutrition hakuwaga na makuu na mtu ila mitihani yake!!!
 
Sisi wa Century ago
Walikuwepo wanaitwa Mwl Ndossi(brothers)
Mmoja wa Muhimbili P/S na mwingine Zanaki P/S
Kwa Seconday
Bakuza(Njenje) Chemisty
Mwandu wa Physics
... Then Am done na Baraza la Mitihani TZ
 
Huyu Yahaya ndo aliekuwa mkuu wa wilaya enzi ya JK?Kumbe karudi kufundisha.
 
Sisi wa Century ago
Walikuwepo wanaitwa Mwl Ndossi(brothers)
Mmoja wa Muhimbili P/S na mwingine Zanaki P/S
Kwa Seconday
Bakuza(Njenje) Chemisty
Mwandu wa Physics
... Then Am done na Baraza la Mitihani TZ
Kuna Ndossi alikuwepo pia Upanga, alikua anachapa balaa
 
Walimu wote wa departments zote za udbs ni wazuri. Na wanawapenda sana wanafunzi wao..huko kwingine nilikopita walimu hawakuwa supportive kwa wanafunzi kivile.
 
Professor Mulokozi wa Chemistry, UDSM,1978, alikuwa makini sana katika fani yake. Kulikuwa na mwanafunzi ambaye alipata sifuri kwenye practical yake moja. Akalalamika kwamba yeye hawezi kupata alama hiyo na kwamba kaonewa. Professor akajibu " hata kama angekuja Mama yangu toka Bukoba na akajibu kama ulivyojibu wewe, ningempa alama sifuri". Kesho yake yule mwanafunzi akabadili masomo yake na kwenda kusomea Arts.
 
Prof. Tyler Lunbery

Naaminiwa na Najiamini katika taaluma yangu sababu ya huyu Mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…