Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umesoma sasa mbona unashabikia uminywaji demokrasia?Fadhili Bwagilo
Mzee wa Magnetism,katunyoosha sana watu wa geology kwa PH 128
Nawanda alikuwa misifa sana yule alipenda tumia nafasi ake kula watoto akiwarudisha probation..... Urassa alikuwa poa sana wakati huo alikuwa dr, dr mbwambo mzee wa nutrition hakuwaga na makuu na mtu ila mitihani yake!!!Prof Urassa J, K sua, Yahaya Nawanda, Dr. Mbwambo, Mwakapina
Alinifundisha Business LawAlikufundisha, AUDITING AU TAX?
Huyu Yahaya ndo aliekuwa mkuu wa wilaya enzi ya JK?Kumbe karudi kufundisha.Nawanda alikuwa misifa sana yule alipenda tumia nafasi ake kula watoto akiwarudisha probation..... Urassa alikuwa poa sana wakati huo alikuwa dr, dr mbwambo mzee wa nutrition hakuwaga na makuu na mtu ila mitihani yake!!!
Kuna Ndossi alikuwepo pia Upanga, alikua anachapa balaaSisi wa Century ago
Walikuwepo wanaitwa Mwl Ndossi(brothers)
Mmoja wa Muhimbili P/S na mwingine Zanaki P/S
Kwa Seconday
Bakuza(Njenje) Chemisty
Mwandu wa Physics
... Then Am done na Baraza la Mitihani TZ
Kaaya na marobhe umejifanya kuwasahau eeeh...kaaya mzee wa sedimentologyDr Boniface Nelson
Prof.shukran Manya
Prof Nkotangu wa hydrogeology
Dr meshack Kagya
Wote udsm
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha aise kuna watu hum waga mnafikilia sijuw nn tu hahahaha mkuu umenifurahisha sana daaa!!Hawa ndio wasomi wenu kutoka vyuo vikuu vyetu. Wamekalia kuandika upupu.
Hivi wasomi wa China nao wangekuwa na akili kama zenu ,corona si ingewamaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa mitusi mitusi mikubwa.mnaishia kucheka mpaka mnasahau kama mko class
Wa wapi huyo?Fadhili Bwagalilo
Isn't this gentleman dead? Labda kama si yule aliyezikwa Misigiri (rip).Dr Shilla pale Mlimani!
Alirudi mudaa kati ya wahaziri walokuwa mafala ni huyu kwanguHuyu Yahaya ndo aliekuwa mkuu wa wilaya enzi ya JK?Kumbe karudi kufundisha.