britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Namkumbuka Sana huyu babu rafiki wa Dr. Comoro wa Ds.Dr itandala,udsm-rip,mzee wa peopling of Africa-history hiyo,anatoa swali,mnaanguka ma points kumbe ngoma ina points 2tu,na hamna Alie wahi ziona,mweh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huyo ng'umbi kafundishwa na Dr. Andindilile na Dr mwaifuge, Hawa kwa literature ni Habari nyingine.Dr. Ibrahim Nzima
Dr. Godfrey Sansa
Dr. Benson Bana ( Now ambassador[emoji38])
Dr. Lema & Dr. Ng'humbi ( These men know literature)
Mungu awabariki sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Komba sijui yuko wapi huyu mzee siwezi kumsahau kwenye EF100. Anauliza what is real, what is beauty? Mnacheeka kumbe course Inaisha hapo.Enzi zetu: Prof. Maghway, Dr. Othman na Dr. A. Lwaitama (Foreign Languages and Linguistics); Dr. Ngware, Prof. Haroub Othmani, Prof. Issa Shivji na Wamba Dia Wamba; Bila kuwasahau Prof. Ishumi, Prof. Komba na Prof. J. Galabawa (Department of Educational Philosophy and Foundation).
Ok, mi kanifundisha Auditing mwaka 2019 ila siku izi anafundisha Auditing na Tax sometimesAlinifundisha Business Law
Ni mtu poa sana yule madamOk, mi kanifundisha Auditing mwaka 2019 ila siku izi anafundisha Auditing na Tax sometimes
Alitoa pichu akapata kadigree ka nguo ndogo.AMRI!Kumbe umesoma sasa mbona unashabikia uminywaji demokrasia?
CIVICS hukusoma?
G.S hukusoma?
D.S hukusoma?
Kuna Ndossi alikuwepo pia Upanga, alikua anachapa balaa
Prof.MwandosyaEnzio Faculy of Engineering udsm
Professor Nerey Mvungi
Dr Alexnder Kyaruzi
Professor Dominic chambega
Professor Bakari Mwinyiwiwa
Hao jamaa kwenye Electrical engineering lazima ukutane nao na lazima uwena adabu just[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikua ni ndugu au majina tu?Ohhh ni kweli nimemsahau huyu, walikuwa watatu
si utani
Prof Mbunda RIPProfessor Victor Mlekwa na Marehemu Dr Mtanyata.
Wa kwanza yeye akiingia kufundisha ni kucheka tu mwanzo mwisho anafurahi tu, sasa Dr. Mtanyata yeye ni matusi tu ya nguoni, yeye anaweza kufundisha kama Mara kumi tu semester nzima.
Professor Galabawa, dah Mbaya alikua na nyodo sijapata kuona, kwenye Masters akanipa B+ bahati nzuri External Examiner akanipa A.
Professor Yohana Msanjila yeye ni mzee wa busara tu, alikua Katibu wa CCT chaplaincy UDSM.
Dr. Leornad Chamuriho, kwa kweli alikua kama mzazi, hakua na nyodo, ndio Permanent Secretary sijui wa Wizara gani huko.
Professor Mbunda, babu anachomekea utadhani anachomekea na Mwiko, nadhani yale mashati alikua anachomeka kwanza kwenye pensi ndani, kyupi, suruali then mkanda.
Duu sikuwahi muelewa Justo alinifundisha JAVA mpaka kesho sielewiProf. Mbago UDSM - Huifanya Takwimu ionekane easy
Dr. Justo UDSM - Usipomuelewa kwenye programming, kaombe kazi auxillary
Prof. Hammington HAVARD UNIVERSITY - Artficially Intelligence made easy
Dr. Waldo HAVARD UNIVERSITY - Anaweza kukufanya ufikiri wewe ndio computer
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yanaendaje hapo auxiliary?Duu sikuwahi muelewa Justo alinifundisha JAVA mpaka kesho sielewi
Duu nimekamata wanafunzi wanavuta bangi ndo nshabeba mzigo napelekwa wanaMaisha yanaendaje hapo auxiliary?