Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Enzi zetu: Prof. Maghway, Dr. Othman na Dr. A. Lwaitama (Foreign Languages and Linguistics); Dr. Ngware, Prof. Haroub Othmani, Prof. Issa Shivji na Wamba Dia Wamba; Bila kuwasahau Prof. Ishumi, Prof. Komba na Prof. J. Galabawa (Department of Educational Philosophy and Foundation).
Prof Komba sijui yuko wapi huyu mzee siwezi kumsahau kwenye EF100. Anauliza what is real, what is beauty? Mnacheeka kumbe course Inaisha hapo.
 
Prof Mbonile, Mr Ambindwile,the late Mr JM Mayoka, Ms Chunakweka, Mr Alfred Sife, Mr Alli Mkubwa, Dr Diyammi, Dr Ramadhan Yusuph, Dr Ishengoma
 
Enzio Faculy of Engineering udsm

Professor Nerey Mvungi

Dr Alexnder Kyaruzi

Professor Dominic chambega

Professor Bakari Mwinyiwiwa

Hao jamaa kwenye Electrical engineering lazima ukutane nao na lazima uwena adabu just[emoji23][emoji23][emoji23]
Prof.Mwandosya
Dr.Bagile
Prof.Mgombelo
Dr.Kisaka

Ndugu ulikua T. ngapi?
 
Professor Victor Mlekwa na Marehemu Dr Mtanyata.
Wa kwanza yeye akiingia kufundisha ni kucheka tu mwanzo mwisho anafurahi tu, sasa Dr. Mtanyata yeye ni matusi tu ya nguoni, yeye anaweza kufundisha kama Mara kumi tu semester nzima.

Professor Galabawa, dah Mbaya alikua na nyodo sijapata kuona, kwenye Masters akanipa B+ bahati nzuri External Examiner akanipa A.

Professor Yohana Msanjila yeye ni mzee wa busara tu, alikua Katibu wa CCT chaplaincy UDSM.

Dr. Leornad Chamuriho, kwa kweli alikua kama mzazi, hakua na nyodo, ndio Permanent Secretary sijui wa Wizara gani huko.

Professor Mbunda, babu anachomekea utadhani anachomekea na Mwiko, nadhani yale mashati alikua anachomeka kwanza kwenye pensi ndani, kyupi, suruali then mkanda.
Prof Mbunda RIP
 
Prof. Mbago UDSM - Huifanya Takwimu ionekane easy

Dr. Justo UDSM - Usipomuelewa kwenye programming, kaombe kazi auxillary

Prof. Hammington HAVARD UNIVERSITY - Artficially Intelligence made easy
Dr. Waldo HAVARD UNIVERSITY - Anaweza kukufanya ufikiri wewe ndio computer

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu sikuwahi muelewa Justo alinifundisha JAVA mpaka kesho sielewi
 
Back
Top Bottom