Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Siyo ukweli, alikuwa na uandishi wa kuzunguka zunguka. Vitabu tunaelewa vingi tu.
Kitu gani kilichoandikwa na RODNEY kwa kuzungukazunguka kwenye "HOW EUROPE UNDREDEVELOPED AFRICA"? Substantiate.
 
Kitu gani kilichoandikwa na RODNEY kwa kuzungukazunguka kwenye "HOW EUROPE UNDREDEVELOPED AFRICA"? Substantiate.
Kuna mwanamama mahiri enzi hizo pale DUCE anaitwa VAKOLAVENE acha kabisa mnachimbua mafuvu palepale chuo
 
Prof Sia Msuya very confident na anajua sana kufundisha shida ujeuri tu na kukamata supp robo tatu ya chuo kizima kwa kozi zote za bachelor,idara yao ya public health alikuja mtu anaitwa Inno alikua anasumbua sana asee ana ngebe,kiburi,ujeuri na hela hana alafu sijui kwa nini wenye rohi mbaya hawanenepi😂😂😂
 
doctor abdudully alinifundisha anatomy bachelor yake kaipataga huko russia alikuwa pisi sana pia nimsema kweli ya mambo kuhusu maisha i really appreciate him
 
Professor Y.bwatwa huyu Ni nguli wa psychology....

Ndie Mwalimu wake na prof. Ndalichako.

Huyu professor alikua na style za ukufunzi wa namna ya kipekee....

Alikua ana amini KILA binadamu ana akili
Kuna muda alikua anatoa mitiani migumu hata usijue ujibu nini?
Unacho takiwa andika chochote ulicho nacho kichwani hauto fail.....

Huyu ukipangiwa awe msimamizi wako wa research hakika utatoka umeiva....

APA STYLE alitufundisha vyema......
 
Dr .Selestine Ramadhani SAUT MBEYA jamaa mchumi wa maana anakwambia haina haja ya kusoma kariri tu heading
 
Dr. Talib Zahoro na Dr. Mwambuli asee sitokuja kuwasahau nyie kabisa pamoja na F.D.Mhanza pale IFM.
 
Prof Mahoo na Tarimo naona hawapo hapo
Wazee wa masifa hao,, Labda Mahoo kidogo lakini Babu Tarimo mmzee wa masifaaa madai yake anapiga factor tuu WOTE HATUNA AKILI NA HATUTAIWEZA IRRIGATION MPAKA MIAKA ZAIDI YA 15..
Haahaha! nakumbuka Prof TARIMO ANDREW alisimamia SP yangu ya undergraduate mbona cha moto nilikiona,,,uzuri nilikuwa nafata maelekezo yake na kwenye course zake zingine sikufanya ajizi
 
Back
Top Bottom