Mzee mzima Dr. Kiduanga!Teacher "is nti nti". DS UDSM
Sijui Bado yupo kitambo sana 2006
Kitu gani kilichoandikwa na RODNEY kwa kuzungukazunguka kwenye "HOW EUROPE UNDREDEVELOPED AFRICA"? Substantiate.Siyo ukweli, alikuwa na uandishi wa kuzunguka zunguka. Vitabu tunaelewa vingi tu.
Kuna mwanamama mahiri enzi hizo pale DUCE anaitwa VAKOLAVENE acha kabisa mnachimbua mafuvu palepale chuoKitu gani kilichoandikwa na RODNEY kwa kuzungukazunguka kwenye "HOW EUROPE UNDREDEVELOPED AFRICA"? Substantiate.
Hapana, hakuna agenda nyingine iliyojificha zaidi ya kuonyesha kujali mchango wa walimu hao ktk maisha yako! Hivyo tu!Hahaaa, naona unajaribu kuifeed data base ya ofisini kwenu, waambie ngashtuka lee
Sent using Jamii Forums mobile app
pisi tena hivi unajua hili neno pisi siku hizi manake??doctor abdudully alinifundisha anatomy bachelor yake kaipataga huko russia alikuwa pisi sana pia nimsema kweli ya mambo kuhusu maisha i really appreciate him
Prof. Kahimba Fred,Prof. Kihupi,Prof.Mganilwa,Dr.Mwampamba (R.I.P),Dr.Kalugila (mzee wa MTH),Babu Sembuche.
Kuna mwamba mmoja Prof. Mulengera utamuelewa darasani lakini kwenye mitihani yake utatoka jasho.
Sent using Jamii Forums mobile app
pisi maana ake toto zuri bt ni neno tata kwa sasa so unatazamalimetumika mahala gani mkuu! mm nina maana ya peacepisi tena hivi unajua hili neno pisi siku hizi manake??
Sasa hivi yupo Ifakara SFUCHASHaya, mmoja wao ni Prof. Magori! Alikuwa akimwaga mashule pale Muhi2 ya Anatomy very relaxed!
Duuh Nimemkumbuka Prof Prof Kyaruzi miaka 1993 katoka USA akiwa na PhD yake alikuwa fire sanaProf. Bakari Mwinyiwiwa
Dr. Alexander Kyaruzi
Prof. Dominick Chambega
CoET, UDSM
Bila shaka una certificate au diplomaProf Calesteous Juma - Harvard Kennedy Schoo
Dr Churi pale SUA alikua Infomat/Comp center
Bila shaka una certificate au diploma
Wazee wa masifa hao,, Labda Mahoo kidogo lakini Babu Tarimo mmzee wa masifaaa madai yake anapiga factor tuu WOTE HATUNA AKILI NA HATUTAIWEZA IRRIGATION MPAKA MIAKA ZAIDI YA 15..Prof Mahoo na Tarimo naona hawapo hapo