Dr ponela wa udom....hakuwa mkifunzi tu bali mlezi,Mungu ambariki sana!!!Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu! Niishie hapo
Prof. Living Mosha anadeserve kwa kweli. Kwanza ana hofu ya Mungu and I think is the only Prof. Of. Architect in Tanzania.R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Oh, ww muweke mwalimu wako bwana unayempenda, huyo ndiyo mkufunzi wako ati!tulioishia la saba nadhani sio mahala pake,endeleeni kututenga&karibuni mtaani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Na hili nalo nimeshalisema'Prof. Mtabaji, the only Professor of Physiology in East & Central Africa by then!
Wale wakazi wa manzeseProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuweka hata mwalimu wako wa shule ya msingi uliyekua unampendaga banaatulioishia la saba nadhani sio mahala pake,endeleeni kututenga&karibuni mtaani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wale wa shule ya msingi nao niwahadhiri?Mbona wewe haujataja mkuu
Yaan hata Mwanao Prof Jay Toka Mikumi umemsahau mkuutulioishia la saba nadhani sio mahala pake,endeleeni kututenga&karibuni mtaani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yessss.. true.. hakuna prof. Mwingine yoyote tz wa architecture. Wote ni madoctor tu.. proff ni yeye mwenyewe.Prof. Living Mosha anadeserve kwa kweli. Kwanza ana hofu ya Mungu and I think is the only Prof. Of. Architect in Tanzania.
Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha kuu kabisa cha cha elimu ulichofikia! Niishie hapo
Huyo mzee alikuwa anatumia sana lugha ya vijana kwenye kipindi chake cha mambo ya epidemiology.