Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.

Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!

Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu! Niishie hapo
Dr ponela wa udom....hakuwa mkifunzi tu bali mlezi,Mungu ambariki sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Prof. Living Mosha anadeserve kwa kweli. Kwanza ana hofu ya Mungu and I think is the only Prof. Of. Architect in Tanzania.
 
Prof. Maghway wa UDSM. Huyu mzee aikuwa anatisha sana kwenye Linguistics. Pia Prof. Saida Othman
Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.

Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!

Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha kuu kabisa cha cha elimu ulichofikia! Niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom