Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Elibariki Mtefu.... daaah! kule Simwaba,R.I.P
 
Dean of student pale UDOM Dk Mlaki..asee Maza hujawah kunifundsha ila ulitulea Kama wanaom..natafta hela nije nikupe zawadi nzuuuriii...Mr kwambaza..Mr yohana..Mr Mwenda..dah. ..Mungu awape maisha marefu Mara elfu hamsa....
😄😄😄😄
 
Main arguments... ..Africa developed Europe at the same rate as Europe underdeveloped Africa.
 
Du ni hatari, ila kwa uzi huu tunataka tuwatambue na kuwatia moyo walimu wetu wanaoifanya kazi yao kwa weledi!
 
Economics department udsm.

Prof Moshi(Development Economist)
Prof Msambichaka(Development Economist)
Prof Rwegasira(Monetary Economist From Havard)
Prof Rutasitara(Macro Economist)
Prof. Ossoro(Econometrics)
Dr. Semboja(industrial economist)
Dr Karamagi(Micro Economist)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wote ni watu poa sana
Hapo ongeza na
Dr. Nsajigwa Mbije
Prof. Japhary kidegesho
Prof.Shemweta
Prof. Dos Santos Silayo

Hawa jamaa Mungu awabariki sana
 
Hahaaa, naona unajaribu kuifeed data base ya ofisini kwenu, waambie ngashtuka lee

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM.
 
Professor Victor Mlekwa na Marehemu Dr Mtanyata.
Wa kwanza yeye akiingia kufundisha ni kucheka tu mwanzo mwisho anafurahi tu, sasa Dr. Mtanyata yeye ni matusi tu ya nguoni, yeye anaweza kufundisha kama Mara kumi tu semester nzima.

Professor Galabawa, dah Mbaya alikua na nyodo sijapata kuona, kwenye Masters akanipa B+ bahati nzuri External Examiner akanipa A.

Professor Yohana Msanjila yeye ni mzee wa busara tu, alikua Katibu wa CCT chaplaincy UDSM.

Dr. Leornad Chamuriho, kwa kweli alikua kama mzazi, hakua na nyodo, ndio Permanent Secretary sijui wa Wizara gani huko.

Professor Mbunda, babu anachomekea utadhani anachomekea na Mwiko, nadhani yale mashati alikua anachomeka kwanza kwenye pensi ndani, kyupi, suruali then mkanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…